HahahahhahAiseee kila uzi nnaoenda kuna couple
Ngoja nitangaze nia na mimi![]()
Unasoma au unapitia babe brotherEpi 65 not Normal again![]()
Welcome to my new lovely world
Pole mkuuHV haiwezekani mods mkaweka story yote kwenye page ya 1 na kila inapoongezwa mkafanya iwe inaendelea hapo hapo? Maana naona km ni kero unakuta Uzi umejaa story za majibizano ya watu wa3 tu na wanachojibizana wanaweza kuambiana kwenye simu zao binafsi sasa kwa sisi tunaotafuta story tu inatupa kero kuitafuta.
Kazi na dawa mkuuHV haiwezekani mods mkaweka story yote kwenye page ya 1 na kila inapoongezwa mkafanya iwe inaendelea hapo hapo? Maana naona km ni kero unakuta Uzi umejaa story za majibizano ya watu wa3 tu na wanachojibizana wanaweza kuambiana kwenye simu zao binafsi sasa kwa sisi tunaotafuta story tu inatupa kero kuitafuta.
Unaenda wapi? Rudi hapa
![]()
![]()
uongo huo
Unaenda wapi? Rudi hapa
Unasoma au unapitia babe brother
Mmmh![]()
![]()
![]()
![]()
Nasoma mylove
Si nilikwambia huwa napenda kufukuzia hadithi
HahahahaMmmh
Sio kwa kukimbia huko dear
Hongera mnoo jamani love!!.Hahahaha
Nilipanga nisome episode 30, baadaye nikafika 50 baadaye 70 baadaye 90. Nikasema hapa i must stop.
Nilisema i will join you, now am here ahsante kwa kukubali kuifuatilia story.