Mkuu kama sikosei Fareed toka mwanzo ni mwislam..na ndio maana alipendelea sana uarabuni kufanya ufirauni wake..so there is no dramatic change!anaijua dini ya kiislam haswaa!..kama angejifanya ni kasisi (padre)..ndo ingetokea dramatic change!..nadhani mwandishi yupo vzr kabisa..ukizingatia egypt ni nchi ya kiislam maana 95%ya population ni waislam!A good story Shunie... the first episode and the name Fareed quickly suggests that he is a Muslim ( though he might be a Christian) .... but in the middle of the story the man wanted to change his ways and he run into a church! Now he knows how to pray in a muslim way and he seems to know many things about the religion! Here there is a lack of information ( or background information) which will easily enable the reader to grasp this dramatic change! As one of the good readers myself, I love a story even if is a fiction story .. the story iwe ina resemble the truth hapa inanoga zaidi.... My comment is not a critic but a complement to the wonderful storytelling of yours! I am your fan of course! A big apology for those who will be annoyed by this comment and mixing of languages.
Mkuu kama sikosei Fareed toka mwanzo ni mwislam..na ndio maana alipendelea sana uarabuni kufanya ufirauni wake..so there is no dramatic change!anaijua dini ya kiislam haswaa!..kama angejifanya ni kasisi (padre)..ndo ingetokea dramatic change!..nadhani mwandishi yupo vzr kabisa..ukizingatia egypt ni nchi ya kiislam maana 95%ya population ni waislam!
Shikamoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitaki[emoji125] [emoji125] [emoji125]Shikamoo
Jamani hivi umeshafika eenh mm nakusiliza ww sasa lini sasa jamani[/QUOTE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila Shunie usijekuta wewe ni TISS nashuka kwenye basi toka mkoani na mazagazaga yangu mara nadakwa na TISS si unajua tena Mimi naongoza kwa kumkandia Jiwe na Bashite wake!
Haaa haaa Tumosa umeliona hilo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajtetea au unataka kuzipeperusha zawadi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaa haaa Tumosa umeliona hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaIla Shunie usijekuta wewe ni TISS nashuka kwenye basi toka mkoani na mazagazaga yangu mara nadakwa na TISS si unajua tena Mimi naongoza kwa kumkandia Jiwe na Bashite wake!
Haaa haa nasikia dar huko kuna watu wasiojulikana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka
Sitaki kuzipeperusha lakini tahadhari muhimu.Hata kuna wanategea watu wajiunge na magroup ya hadithi WhatsApp Mimi sikwenda aisee,isijekuwa ni walewale wasiojulikana!Unajtetea au unataka kuzipeperusha zawadi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa ngoja hizi vurugu za mvua zipungue nitie timu huko jijini.Niko mm nakusubiri
Sawa ngoja hizi vurugu za mvua zipungue nitie timu huko jijini.Niko mm nakusubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni muogaSitaki kuzipeperusha lakini tahadhari muhimu.Hata kuna wanategea watu wajiunge na magroup ya hadithi WhatsApp Mimi sikwenda aisee,isijekuwa ni walewale wasiojulikana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole aiseeSitaki kuzipeperusha lakini tahadhari muhimu.Hata kuna wanategea watu wajiunge na magroup ya hadithi WhatsApp Mimi sikwenda aisee,isijekuwa ni walewale wasiojulikana!