Michirizi ya Damu

Michirizi ya Damu

Shunie umeamua nakumbuka alosto zilivokuwa zinatutesa kuanzia peniela na nyingine yani nimetiririka kusoma hadi raha... Nakuelewa mamaa
 
Shunie umeamua nakumbuka alosto zilivokuwa zinatutesa kuanzia peniela na nyingine yani nimetiririka kusoma hadi raha... Nakuelewa mamaa
Arosto ya peniela hatuwezi isahau
 
Michirizi ya damu umeanza halafu jana unaniuliza kuhusu rosemary nakuhadithia haujarudi tena unanichosha tu jamani
Hahaha
Unajua sipati notification mpenzi!! Sijaona kabisaaa!!

Nimekuja kumtafuta mdogo wangu kipenzi Icema 3D...
 
Hahaha
Unajua sipati notification mpenzi!! Sijaona kabisaaa!!

Nimekuja kumtafuta mdogo wangu kipenzi Icema 3D...
Iceman sijamuona kabisa angekuwepo leo ningeona notification zake kwenye dunia haina usawa
 
Mimi ni mvivu sana kusoma lakini hii imenishika nikasoma kila herufi. Well Done.
 
Back
Top Bottom