Utamtafsiria dada [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameenda porini jamaniUmeona nilikuwa najua lazima utajua ni dharura ipii hiyo jamani
HahahaMweeeeh tena la moyoni halafu jana naona ulimwambia mbebez asikuje eenh mana hata simu wala kupigiwa kimyaa
[emoji23][emoji23][emoji23] uchoyo upiii huo dada usinipe la moyoni mpaka nifike home nipo kwa mwendokasi mkojo umenibana sana jamani naomba uniombee la sivyo utaniona huko mdada ajikojolea kwa mwendokasiKhaaaa
Umeanza uchoyoo
Sina namna ya kumpata zaidi ya humu akiNimemmiss jamani msalimie sana huko mkiwa mnawasiliana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mrejesho wala nini angekuja tungekupigia tu nimeona kimyaa nikasema mwenye mbebez wake kashapiga mkwaraHahaha
Ndo nilikuwa nataka mrejeshoo kwakooo!!
Kuna muda aliniambia dada anaumwa ujue!!!
Sawa mdogo wangu kipenziUtamtafsiria dada [emoji3][emoji3][emoji3]
AtaitikaaaWoyoooooooo mpe salam zangu sana
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mrejesho wala nini angekuja tungekupigia tu nimeona kimyaa nikasema mwenye mbebez wake kashapiga mkwara
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] uchoyo upiii huo dada usinipe la moyoni mpaka nifike home nipo kwa mwendokasi mkojo umenibana sana jamani naomba uniombee la sivyo utaniona huko mdada ajikojolea kwa mwendokasi
Huniamini au
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Khaaa shemela jamani sema kweli umempenda nikupe
Shululu wangu namuachia nani kwa mfanoShemela angu amekupenda na mm nasema sawa akuchukue tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usimtishe shemela wangu tumosa yuko single
Na hcho kichina vp[emoji23] [emoji23]Hivi mama kule insta umenifollow huna picha [emoji3][emoji3] nimekuweka kwenye foleni tu ukunda kunishunguia imi tu iwe ukunda kushunguiwa ebu niache kwanza [emoji23][emoji23][emoji23] kama huelewi nenda Google au mwambie sakayo akutafsirie
Tutafsirie hebu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]