ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,469
Sasa Fareed huo ndio uanaume, kutoka kukulwa hadi kuanza kulipiza kisasi.. Ulikua unaniudhi sana ulivyokua unapumuliwa kisogoni..
Kweli kabisaHayo ndio mapenzi ya kidigitali.ukimpa mwanamke hela kama huitwi, utaitwa baby
MmmhSio kuzingua naona kupanda huko juu mbali kuna post nyingi
HatujamboWazima humu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Fareed huo ndio uanaume, kutoka kukulwa hadi kuanza kulipiza kisasi.. Ulikua unaniudhi sana ulivyokua unapumuliwa kisogoni..
JamaniUmeanza sasa na miguno
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wazima halafu nimekuona ww insta kwa profile yako kuna picha hii nikahisi tu ni wewe kwenye acc ya jf
Hatujambo
Nambie rafikiTumosa [emoji4][emoji4]
HahahaaaFareed, kutoka James delicious .ghafla bin vuu 6 pack
Wewe jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm dada au wewe
Fareed, kutoka James delicious .ghafla bin vuu 6 pack