Michezo ya Utoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michezo ya Utoto

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Hmaster, Jun 7, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakati wa utoto mimi na wenzangu tulipenda sana kucheza mchezo wa kifamilia (ubaba, umama na utoto). Katika mchezo huo tulipendelea kujipa uhusika kwa kufuata jinsia zetu za kweli na kwa kuzingatia umri. Kama wavulana mnakuwa labda wawili na msichana mmoja tu hapo inabidi nafasi ya baba ambayo ilikuwa inapendwa sana ishikwe kwa zamu hivyo mmoja anakuwa jogoo wa kuwika asubuhi ili baba na mama waamke kutoka kwenye kijumba walichojifungia: baadaye naye anakuwa baba na mama anaendelea kuwa mama.
  Siku moja mi nilikuwa baba na nikawa na mama kwenye kijumba tunajivinjari kitoto-toto. Ghafla yule mvulana wa nje (jogoo) akawika eti ndo tayari kumekucha mi ntoke ili aje yeye kuwa baba. Nakumbuka nnlitoka kwa hasila nje na kumweleza jogoo yule kwamba usiku bado na asiendelee kutupigia kelele la sivyo nitamchinja tumle. Yule jogoo aliposikia hivyo alitii na mm nikaendeleza libeneke. Utoto raha sana, sana una kisa chochote cha utoto tuhabarishe hapa.
   
 2. Smartmind

  Smartmind Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Haaahaaaah mpaka sasa bado unawachimba wenzio bit uendelee kufaid au ilikua utotoni tu?:mwaaah::madgrin:
   
 3. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi nimeamua kuimiliki kabisa kwa vile za kupokezana zimepitwa na wakati!
   
 4. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ule mchezo wa kujificha ndo ulikuwa unanikosha sana aka kombolela,wakat wa kujificha nlikuw naenda kujificha na nimpendae vinavyojiri kule ni rahaaa sanaaa
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He he he umenikumbusha mbali mzee.siku hizi watoto wetu wanataka kuangalia tv au kuchezea kompyuta tu
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  heeeee nikichek mada nikichek avatar dah mi sina mbavu jaman..
   
 7. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mkuu si ndo maana siku hizi mashoga weng hawana practice kabisa wao na computer tu
   
 8. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Duuh umenikumbusha mbali saaanaaa. Nakumbuka katika mchezo wa kibababa na kimaamama si nikajisahau nikavaa chakatinakati cha kibinti cha jirani, weeeeee. Jioni wakati navua nguo nataka kwenda kuoga maza si akaniona nimevaa chakatinakati cha kidemu wacha anishushie mkong'oto wa nguvu sisahau hadi leo.
   
 9. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 341
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ni kweli kuwa mashoga wamekuwa wengi kwani watoto hawako active. Wao ni kuangalia cartoon na playstations. Hakuna kupigana, kucheza outdoor, kuwinda, kuendesha matairi, gari za waya etc. Akiguswa au kutukanwa kidogo tu kashakimbilia polisi kuchukua RB.
   
 10. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  khhaaaaaaaa!
   
 11. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hawa watoto sasa hivi acha tu wachezee kompyuta na tv,maana kivulana cha miaka 7 kikishacheza baba mama na kischana cha miaka 6,kwisha habhari yake,wazazi mtakutana maternal...
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  ole wako ubadilishan tena manake kichapo chake ni cha kisaikolojia zaidi!

   
 13. N

  Nickbob Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hapo zamani za utotoni bwana ee! raha tupu! Mungu akiamua ku rewind mkanda, kutakuwa na corrections za ajabu. we utafanya corrections wapi?
   
Loading...