Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,549 Mar 20, 2012 #21 huko ni angola,and in hand is the only kind of toys they have
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,828 Reaction score 1,318 Mar 21, 2012 Thread starter #22 Bushbaby said: Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... MpigaKelele said: Unamshukuru Mungu wako kwa kukupa hekima ya kulea mtoto wako vizuri, kwa kiasi fulani unagundua kuwa hauhusiki kuzalisha MAJAMBAZI. Click to expand... Je ungekuta ndiye kashika Panga?....
Bushbaby said: Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... MpigaKelele said: Unamshukuru Mungu wako kwa kukupa hekima ya kulea mtoto wako vizuri, kwa kiasi fulani unagundua kuwa hauhusiki kuzalisha MAJAMBAZI. Click to expand... Je ungekuta ndiye kashika Panga?....
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Mar 21, 2012 #23 Bushbaby said: View attachment 49498 Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... hawa watakuwa ni mazalia ya vita yaani wamezaliwa vitani..
Bushbaby said: View attachment 49498 Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... hawa watakuwa ni mazalia ya vita yaani wamezaliwa vitani..
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 Mar 21, 2012 #24 bushbaby said: View attachment 49498 ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... wanasema samaki mkunje angali mbichi.. Mnapoambiwa al-shabab wapo nchini msidhanie wote wana sharubu kama kambale.. Ndiyo mambo kama hayo// sasa mtoto kashika panga baba atashika nini???
bushbaby said: View attachment 49498 ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... wanasema samaki mkunje angali mbichi.. Mnapoambiwa al-shabab wapo nchini msidhanie wote wana sharubu kama kambale.. Ndiyo mambo kama hayo// sasa mtoto kashika panga baba atashika nini???
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,621 Reaction score 11,631 Mar 21, 2012 #25 (Mwenye panga) Jambazi in the making....aaarrrrgh. Mambo ya movie za akina Rambo hayo