Michepuko mingine ni hatari

Michepuko mingine ni hatari

Mm nilikutana na kesi kama hiho hiyo japo sijaoa lakin nina mtu sasa niko naye kwenye relation ship , basi imekuwa ni hatari

Nikaona ujinga nimempotezea mpk leo

sent from toyota Allex
 
Mm nilikutana na kesi kama hiho hiyo japo sijaoa lakin nina mtu sasa niko naye kwenye relation ship , basi imekuwa ni hatari

Nikaona ujinga nimempotezea mpk leo

sent from toyota Allex
Itakuwa ilikuwa hakufinyii ndani mkuu
 
Wakuu jana mchepuko wangu umegoma kabisa kunipa haki yangu.

Madai yake ni kwamba eti nimfukuze mama watoto nyumbani then nimuoe yeye.

Yaani mimi nitupe friji nje halafu niweke deli la askirimu ndani?

No way.
Bora hata wewe umeambiwa kumfukuza; kwa hali halisi ilivyo kitaa; mchepuko anaweza kumgonga hata kwa gari ili mkeo afe ili aje mjengoni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom