Michepuko mingine ni hatari

Michepuko mingine ni hatari

Kamchepuko naona kana nyota ya Bashite... yaani kama nakaona vile kanavyopigwa 'ban' kwa ukiukwaji wa haki za ndoa!
 
Write your reply...imagine eti mother house akisafiri nimlete kwenye mjengo apaonee

eti anataka kwenda kuwasalimia wazazi wangu na anataka nimtambulishe kwa baadhi ya ndugu seriously ? non sense kabisa


eti wikiend niwe nalala kwakwe hawa sijui wamepatwa na nini michepuko siku hizi

ni bora watambue nafasi zao
 
mkuuuuu ukiona hivo ujue umwepwaya mpe mgegedo mzr mtoto hawez kukuambia upuuzi huo
 
Wakuu jana mchepuko wangu umegoma kabisa kunipa haki yangu.

Madai yake ni kwamba eti nimfukuze mama watoto nyumbani then nimuoe yeye.

Yaani mimi nitupe friji nje halafu niweke deli la askirimu ndani?

No way.
Hahahaaa hapo kwenye deli la asklimu utakua unauza azamu ukwaju 😆😆😆😅
 
Itakuwa ilikuwa hakufinyii ndani mkuu
We alikuwa anafahamu mambo sio kitoto uno lake kwanza , ilikuwa ni full zaidi ya akudo , inshort alikuwa anafahamu sana ....mpk sasa huwa najihic kama ameniloga maana nguo zake zipo kabatini kwangu mpk leo

Ila niliamua tu kumove on .....kuna wakati inabidi kuwa na maamuzi magumu sana

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom