Hello beautiful
Member
- Feb 13, 2019
- 69
- 98
Sasa km mna mafridge madeli mnayatakisha nn??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
MrejeshoWakuu jana mchepuko wangu umegoma kabisa kunipa haki yangu.
Madai yake ni kwamba eti nimfukuze mama watoto nyumbani then nimuoe yeye.
Yaani mimi nitupe friji nje halafu niweke deli la askirimu ndani?
No way.
update..
Wakuu mchepuko umeanza vimbwanga kuwa ndani ya week hii nisipomtimua wife basi ataenda kumtimua yeye mwenyewe .
Nimemwambia aende aone Kama sijang'oa bati la nyumbani kwao..
Kawa mpole na lipua lake Kama ngumi,,.