Ndiyo maana yake hapo maslahi, anakwambia nifungulie biashara wakati mkeo hata mtaji wa laki 3 umeshindwa unamwambia subili mambo yakae sawaNimekuelewa;kwa hiyo mchepuko anakuwa pale kwa ajili ya maslai yake na si mapenzi
Na inafilisi hasaaa...lakini hamkutumwa kuwafata ni tamaa zenu tu..
Mi naona wawafilisi tu mana wapo kazini
Sasa utakuwa na akili nzuri kweli....kama unajiona huwezi kuhudumia vyote hivyo si unajilazimisha kuridhika na mkeo.
Hawa wazuri unaishia kuwaangalia tu jioni unamalizia hamu kwa mkeo.
ha ha ha ha haMtu anachunwa huko halafu hasira zinaishia kwa mkewe, full stress mke anashangaa tu huyu bwana vipi.[emoji44] kumbe huko michepuko imemchepua, hapo kupata pressure lazima hata ilikotokea
Walio feli kwa hilo watakucheka lakini ukweli ndiyo huoNiligundua hilo mapema nikaacha nikaona nifanye tu maisha na Mke wangu baada ya kuacha haijapita miaka mingi nikajikuta yale malengo yangu tulopanga na Mke wangu kwa kiac kikubwa yametimia japo kipato changu na cha mwenzangu nichakawaida.
Amini kila kitu kinahitaji ujitoe siku hz nikiona tako nimelitamani kitaaa hacra zote naenda malizia home faida nimeiona kubwa sana kwanza familia inastawi na upendo unaongezeka
Maisha kila mtu anastahili yke lkn michepuko cyo
Inabidi maana haiingii akilini watoto waishi maisha ya kuhangaika kisa michepuko...Duu unaangalia kama pic za matangazo
Tatizo nalo pia lipo kwa wanaume, mwanaume akiambiwa tu naomba tutoke lazima akubali hata kama hakuwa na nia naye lakini mara kwa mara lazima mtongozane, lakini mwanamke kama hamhitaji huyo mtu ngumu sana kutoka naye labda awe naye ni muuzajiLakin wanawake wamezid mtu anajua mme wa mtu lakn wana tembea nae
Inabidi maana haiingii akilini watoto waishi maisha ya kuhangaika kisa michepuko...
Kwa sababu ni zetu, tuna uhuru wa kufunga na kufunguaHivi kwanini mnazifunga profiles zenu!!!?
They are not urs... They are JF's.Kwa sababu ni zetu, tuna uhuru wa kufunga na kufungua
They are not urs... They are JF's.
Labda kama we ni Msukuma.
Hapo ndio utajua Magufuli karekebisha watu tabiaMida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.
They r not urs...Hebu rejea tena swali lako. 'Hivi kwa nini huwa mnafunga profile zenu?' Sasa hivi we mwenyewe tena unasema sio zetu
Kwa hiyo?They r not urs...
I insist.
Amen.Ndiyo umelitambua leo, nyumbani ekfu5, mchepuko laki 2 tena zakutunzia mtoto asiye wako halafu mtu anajiita kidume,
mke michunusi mpaka mgongoni kisa pesa hakuna Mungu awaponye wanaume dizaini hii
Hahahah....zaid ya KUPEMm nimeamua kubaki njia kuuu kabisa, haya mambo yanafilisi kwakweli yaaani wala tusiongopeane mimi kuna watu na wajua wamechokoza haya mambo wanajilaumu sana, unakuta mchepuko anamjua mpaka mke wako na familia yako harafu linawahi kushika mimba ili mgandane
Mida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.
Wanaothamini kidogo ni wachache sana,unashangaa leo unatoa laki,kesho anakuambia nimeona nguo nzuri,nataka kuenda saluni,hujakaa sawa anakuambia mzigo wake umekwama anaomba umpe laki 3,mpaka mtu unachanganikiwa
Aisee, unao wangap jomba? Mi nlikuwa na michepuko miwili.. Juzi kati yotE nimeichana na nmeachana nayo. Haikuwa rahisi kwa kweli.ha ha ha ha,nimekuelewa kwa 100%;namuomba Mungu anijalie niachane nao vizuri bila kukwaruzana,wanavyopiga mizinga ni sawa na ndege aliyenyonyolewa manyoya baadae akaambiwa aruke.