Michepuko inafilisi

Kuna michepuko inajielewa balaa.
Yaani unakutana na mwanamke ana malengo makubwa makubwa na anayatimiza.
Anathamini hata kidogo unachompatia na hana time na ndoa yako.!
Wanaothamini kidogo ni wachache sana,unashangaa leo unatoa laki,kesho anakuambia nimeona nguo nzuri,nataka kuenda saluni,hujakaa sawa anakuambia mzigo wake umekwama anaomba umpe laki 3,mpaka mtu unachanganikiwa
 
Tatizo matumizi yanakuwa rafu sana yanakuwa hayana mpangilio....inakuwa kama vile kukomoana.
 
Bi mkubwa umempa kila kitu, anaitwa Mrs Equation x...hii pekee inampa haki ya kila kitu ambacho kinahusiana na wewe, hata ungenimwagia mamilioni bado haitoshi kufidia hilo gepu
Nimekuelewa;kwa hiyo mchepuko anakuwa pale kwa ajili ya maslai yake na si mapenzi
 
Nimekuelewa;kwa hiyo mchepuko anakuwa pale kwa ajili ya maslai yake na si mapenzi
Nifate mapenzi kwako nitayapata? Pale ni exchange tu maana hata wewe kilichokuleta kwangu sio mapenzi. Unapata unachohitaji na mimi napata nnachohitaji....deal closed. Siwezi kuwekeza kwenye mapenzi wakati siku yoyote unaweza kuamua kuniacha na kurudi kwa mkeo na mimi ukaniachia v.uzi tu.
 
ha ha ha ha ha,sio hivyo unakuwa umeweka mipango kabisa baada ya muda fulani tutafanya biashara fulani na mikakati unakuwa umeweka na mkakubaliana;kabla ya kufanikisha hilo mizinga inakuwa mingi mpaka ile mipangilio yako ya awali inashindwa kutekelezeka.
 
Tatizo hakuna guarantee, hivi siku imefika unaniambia nimeshindwa kutoa pesa wife ameficha ATM card nitakushtaki wapi? Au kabla hata hatujafika kutekekeza mipango unaniambia mimi sasa hivi nimeokoka sitaki tena michepuko usinitafute tena wakati huo wewe ulikuwa unajinyima unasubiri kutekeleza mipango mikubwa. Unakamua kwelikweli kama ni mipango unafanya ya kwako binafsi, mambo ya kupanga mipango na mume wa mtu yanatoka wapi
 
ha ha ha ha,nimekuelewa kwa 100%;namuomba Mungu anijalie niachane nao vizuri bila kukwaruzana,wanavyopiga mizinga ni sawa na ndege aliyenyonyolewa manyoya baadae akaambiwa aruke.
 
kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.
Kimbia mbio nyingi kituo polisi post
 
Ila ccm si chama cha maendeleo.

Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Kosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua Sasa Hivi Hadi Miaka Mitano. Ccm Hii Ya Kangomba Na Kifutu
 
Umeanza kuzinduka, Mungu akuamshe uache kifisadi familia yako maana matumizi mabaya ya pesa ya famiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…