Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,172
[emoji16][emoji16][emoji16]kazi unayoha ha ha ha ha,sio hivyo unakuwa umeweka mipango kabisa baada ya muda fulani tutafanya biashara fulani na mikakati unakuwa umeweka na mkakubaliana;kabla ya kufanikisha hilo mizinga inakuwa mingi mpaka ile mipangilio yako ya awali inashindwa kutekelezeka.
Haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]mbavu zangu jamaniTatizo hakuna guarantee, hivi siku imefika unaniambia nimeshindwa kutoa pesa wife ameficha ATM card nitakushtaki wapi? Au kabla hata hatujafika kutekekeza mipango unaniambia mimi sasa hivi nimeokoka sitaki tena michepuko usinitafute tena wakati huo wewe ulikuwa unajinyima unasubiri kutekeleza mipango mikubwa. Unakamua kwelikweli kama ni mipango unafanya ya kwako binafsi, mambo ya kupanga mipango na mume wa mtu yanatoka wapi
[emoji16][emoji16][emoji16] anaelewa vizuri sema anajitoa ufahamu tu, anataka na sie tujitoe ufahamuHaaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]mbavu zangu jamani
Ina maana huyo unayemquote anajifanya hayaelewi haya?[emoji16][emoji16]
Ha haha ila umempa ukweli[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] anaelewa vizuri sema anajitoa ufahamu tu, anataka na sie tujitoe ufahamu
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimeanza kupunguza mawasiliano kwa mmoja na kumuambia kwa sasa nabana matumizi nadaiwa na bank,muda wowote wanaweza kuuza asset zangu,akabaki kusema Mungu atakusaidia tu;bila kujua ni mkakati wa kuachana.
Ni sawa na kubeba gunia la misumari[emoji16][emoji16][emoji16]kazi unayo
Anawapanga 4 kisha anapata mimba hapo anaanza kucheza karata ampe nani mwenye nazo au mwenye unafuuInategemea,wanaweza kutumia mpira au wasitumie
ha ha ha hakunaga kitu kibaya kama kulea mtoto ambaye sio wakoAnawapanga 4 kisha anapata mimba hapo anaanza kucheza karata ampe nani mwenye nazo au mwenye unafuu
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
ha ha ha hakunaga kitu kibaya kama kulea mtoto ambaye sio wako
ha ha ha ha kama atakuwa wa kwangu hakuna shida,nimajuto kukataa mtoto hasa ukifika uzeeniHapo ndiyo gunia la chawa limekuangukia [emoji23][emoji23]
ha ha ha ha kama atakuwa wa kwangu hakuna shida,nimajuto kukataa mtoto hasa ukifika uzeeni
Huo ni mtihani mgumuMnakuwa zaidi 1, 3-4 na una ng'ang'iwa ila ndiyo maisha yetu
Huo ni mtihani mgumu
ha ha ha ha binadamu hutakiwi kukimbia matatizo,bali unatakiwa upambane nayo uyashinde.Tutafika hakuna namna
Kweli hakuna kukimbia likikukuta unalia weeeee kisha unaanza tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ukilipata la kukua ndiyo basi tenaha ha ha ha binadamu hutakiwi kukimbia matatizo,bali unatakiwa upambane nayo uyashinde.
ha ha ha haKweli hakuna kukimbia likikukuta unalia weeeee kisha unaanza tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ukilipata la kukua ndiyo basi tena
Chuo gani mkuu tukusaidie malipo [emoji23]kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.