Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,922
- 61,673
- Thread starter
-
- #201
Inakuwa nimetoka na mke,watoto, na mtu wa taadhari kama tutashindwa kuendesha usafiri;sasa nikipiga chupa 8 mambo yanakuwa mengineHapo si unakuwa umekaa karibu na mkeo, hawaogopi kwani? Kumbe ndiyo maana anaogopa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwani aliyekuita hapa nani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] aibu nimeona mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu acha kuchomea wenzio pichaHaukomolewi wala, kama unaona unakomolewa si uondoke?
Ujue utafanya vijana wakatafute vumbi la canada[emoji23][emoji23][emoji23] nakwangua hadi mfupa
Hapo lazima network ihame kabisa pata chupa kwa starehe si kwa fujoInakuwa nimetoka na mke,watoto, na mtu wa taadhari kama tutashindwa kuendesha usafiri;sasa nikipiga chupa 8 mambo yanakuwa mengine
Usiku mwema hahahahahhHivi kwani aliyekuita hapa nani [emoji3][emoji3][emoji3]
Na badoDuh! Sasa huchuni unakwangua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] sichomi picha ya mtu yeyote, natoa mawazo yangu tu na si mawazo ya kila mchepuko....wengine wana mapenzi ya dhati nasikia etiHalafu acha kuchomea wenzio picha
Sio ubahili mkuu;wanapiga mizinga bila ratiba unashangaa asubuhi alikuomba elf 50,ikifika usiku anakuambia kuna wazo la biashara naomba unipatie laki 5.Nilikuwa najaribu kupangua zingine lakini nimeona nikiendelea hivi hakuna kupiga hatuaAcha ubahili Brother
Ujue utafanya vijana wakatafute vumbi la canada
Safi sana, huyu ndio mchepuko anayejua kutumia fursaSio ubahili mkuu;wanapiga mizinga bila ratiba unashangaa asubuhi alikuomba elf 50,ikifika usiku anakuambia kuna wazo la biashara naomba unipatie laki 5.Nilikuwa najaribu kupangua zingine lakini nimeona nikiendelea hivi hakuna kupiga hatua
Hahahaha kwa hiyo inakuwa ni mpango mkakati au???Na bado
Napingana na wewe. I am over 30 rememberK haikomolewi hata siku moja
Wewe unapochakaza nanihii ya watu je?Sio ubahili mkuu;wanapiga mizinga bila ratiba unashangaa asubuhi alikuomba elf 50,ikifika usiku anakuambia kuna wazo la biashara naomba unipatie laki 5.Nilikuwa najaribu kupangua zingine lakini nimeona nikiendelea hivi hakuna kupiga hatua
Mi huwa napenda sana kujiachia hasa wkend,juma3 mpaka ijumaa ni kupambana;sasa michepuko muda wowote watakaojisikia ni mizinga tuHapo lazima network ihame kabisa pata chupa kwa starehe si kwa fujo
Hapo haujakoseaHahahaha kwa hiyo inakuwa ni mpango mkakati au???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi huwa napenda sana kujiachia hasa wkend,juma3 mpaka ijumaa ni kupambana;sasa michepuko muda wowote watakaojisikia ni mizinga tu
We nini bhana, watu walishapigwa mtungo wakaendelea kudunda tu itakuwa wewe kamtu kamoja? Halafu ukitumia vumbi la Congo nikakunyima si utaenda nalo kwa mkeo?Napingana na wewe. I am over 30 remember
Hatari sanaHapo ni kujiangalia anaweza kuwa anampa sifa kumbe anazuga ili asimgundue kama ni kipanga mzoefu