Michepuko imeimarisha sana ndoa yangu

ushauri mzuri sana huu,inabidi uufanyie vitendo
 
Kwenye maisha binadamu huwa tunakosea ikiwepo hili la kuanzisha mahusiano yasiyofaa hususani haya ya nje ya ndoa. Ila, ukifika hatua ya kuyazoea makosa yako kiasi cha kujivunia makosa yako na kujisikia fahari hata kuyatangaza kwenye social platforms, ni dalili kuwa dhamiri yako imeshakufa ganzi. Tunapoendelea kufurahia maisha yetu hapa duniani ni vyema tukakumbuka kuwa tunapita, hivyo hatuna budi kujiandaa kukutana tena na Muumba wetu.
 
Mambo ya muumba ni mambo ya kusadikika, ingekuwa ni hivyo watu wasingekuwa wakipokea sadaka au michango ya waumini waliochoka.
 
Acha kuhalalisha Ujinga
Uaminifu una vunjika
Yani inakuwa anayetoka na mchepuko
Na mchepuko anatoka na mchepuko anatoka na mchepuko na anatoka na mchepuko…….
Inakuwa circle sasa (Uzinzi unaongezeka)

Mke wako anakuwa mchepuko wa mwingn ndio manini sasa
Alf humo humo ndio mnakuja kuathirika na UKIMWI

Eh na Watoto wanaona ujinga ambao mzazi anaufanya

Be faithful to one partner
Jicontrol , Kuweni waaminifu
Rizika na mmoja bas
Shida ni nn ? Utakufa ?
 
Miaka 50 ijayo utakuwa wapi?
 
Hata mimi nisingekuwa na mchepuko ningekuwa kichaa saa hizi.Haya mambo ya wanawake wanaita menopause shida sana.Wengine wakisimama kwenda hedhi wanaugua sana hata hilo tendo hawalitaki.
Asikwambie kitu wenzetu wakristo wanashabikia ndoa ya mke mmoja lakini ndio wanaoongoza kwa michepuko na wanatamani sana sheria ya kislam kuoa mke zaidi ya mmoja.
Inshort kuwa na mke mmoja ni ufala na ujinga kiwango cha lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…