Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,653
- Thread starter
- #41
mama mzazi ni mali ya babaHivi bi mkubwa SI mama mzazi? Au niache ujinga🙄🙄
mama mzazi ni mali ya babaHivi bi mkubwa SI mama mzazi? Au niache ujinga🙄🙄
ushauri mzuri sana huu,inabidi uufanyie vitendoWatu wengi hawapendi kubanwabanwa,nadhani hata kufunga ndoa kungesitishwa,ibaki unaishi na mwanamke,mnazaa maisha yanaendelea.Mfano wewe mleta mada wewe unaenda nje unagonga michepuko,mkeo nae anaenda nje anagongwa,nyumbani panabaki ni sehemu ya makazi tu.Safi sana.Siku mojamoja unakua unamsihi mkeo kiutaniutani kua uwe unagongwa kisirisiri ili watu wasinidharau kua nagongewa sana,nayeye anakusihi hivyohivyo.Hapo mbona maisha yatazidi kua murua...?
Safi sana kiongozi.
Siku akikunyima, huwa unatumia mbadala upi?
Kulia wali maharage kwenye sahani ya kioo ina tofauti na kutumia sahani ya plastiki.Ana TV ndani?
Kwenye maisha binadamu huwa tunakosea ikiwepo hili la kuanzisha mahusiano yasiyofaa hususani haya ya nje ya ndoa. Ila, ukifika hatua ya kuyazoea makosa yako kiasi cha kujivunia makosa yako na kujisikia fahari hata kuyatangaza kwenye social platforms, ni dalili kuwa dhamiri yako imeshakufa ganzi. Tunapoendelea kufurahia maisha yetu hapa duniani ni vyema tukakumbuka kuwa tunapita, hivyo hatuna budi kujiandaa kukutana tena na Muumba wetu.Kweli michepuko imenisaidia sana, sifa zote ziende kwao:-
Hasira za hovyo hovyo kwa bi mkubwa sina Wivu wa hovyo hovyo sina Simsumbui sumbui bi mkubwa kwa tendo akiwa amechoka. Muda wote tunacheka tu kwa furaha na utani uliopitiliza. Watoto wako bize na masomo yao Na mimi muda wote nina furahaKweli wanaume hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja, kama utalazimisha kuwa na mmoja, jiandae kwa kero zilizopo, moja wapo likiwa ni kupatwa na magonjwa ya akili.
Kwa asili, dume ameumbwa kuwa na majike mengi kutokana na sababu za kimaumbile.
Tuliojua hiyo siri, ngoja tuendelee kufurahia maisha.
Huna unachojua Kuhusu ndoa mkuu. TuliaNawashangaa sana wanaume wakiooa alafu wanacheat. Ni wasaliti na upumbavu wa kiwango cha lami
Mambo ya muumba ni mambo ya kusadikika, ingekuwa ni hivyo watu wasingekuwa wakipokea sadaka au michango ya waumini waliochoka.Kwenye maisha binadamu huwa tunakosea ikiwepo hili la kuanzisha mahusiano yasiyofaa hususani haya ya nje ya ndoa. Ila, ukifika hatua ya kuyazoea makosa yako kiasi cha kujivunia makosa yako na kujisikia fahari hata kuyatangaza kwenye social platforms, ni dalili kuwa dhahiri yako imeshakufa ganzi. Tunapoendelea kufurahia maisha yetu hapa duniani ni vyema tukakumbuka kuwa tunapita, hivyo hatuna budi kujiandaa kukutana tena na Muumba wetu.
KabisaNawashangaa sana wanaume wakiooa alafu wanacheat. Ni wasaliti na upumbavu wa kiwango cha lami
Miaka 50 ijayo utakuwa wapi?Acha kuhalalisha Ujinga
Uaminifu una vunjika
Yani inakuwa anayetoka na mchepuko
Na mchepuko anatoka na mchepuko anatoka na mchepuko na anatoka na mchepuko…….
Inakuwa circle sasa (Uzinzi unaongezeka)
Mke wako anakuwa mchepuko wa mwingn ndio manini sasa
Alf humo humo ndio mnakuja kuathirika na UKIMWI
Eh na Watoto wanaona ujinga ambao mzazi anaufanya
Be faithful to one partner
Jicontrol , Kuweni waaminifu
Rizika na mmoja bas
Shida ni nn ? Utakufa ?
MbaliMiaka 50 ijayo utakuwa wapi?
huku tu wapitaji, makao yetu ya kudumu ni ya mileleMbali
We
Kumbuka jina langu utanijua huko mbeleni zaidi
Kabisahuku tu wapitaji, makao yetu ya kudumu ni ya milele
Vyote vilivyomo kwenywe hii dunia ni muhimu kuvitumia, kwa kuwa hakutakuwa na maisha mengine zaidi ya hapo.Kabisa
Yani haka kasayar kashaharibika
Hilo libonge litaniua😅Vyote vilivyomo kwenywe hii dunia ni muhimu kuvitumia, kwa kuwa hakutakuwa na maisha mengine zaidi ya hapo.
Ukiweza kuwa na chuma kama hichi ni wewe tu
View attachment 3391432
wewe hu cheat unaweza kuta mkeo ana cheatNawashangaa sana wanaume wakiooa alafu wanacheat. Ni wasaliti na upumbavu wa kiwango