mmh baby, nisamehe jamani. Unanisema mbele za watu hadi naona aibu! Lol,
Basi honey !
Kweli nimekosea dia nisamehe bwanaa!
Unajua mpenzi binadamu hatuna ukamilifu, sio siri Mammiy nimetahayari !
Sirudii tena mpenzi ,
umenisamehe ?
Alafu leo usiku unapika nini dia ?
usijali mpenzi, nilishakusamehe. Leo napika tambi na samaki. Tutashushia na maziwa.
wee konnie wewe,tatizo watu wakitoka lupango huwa wanakuwa na nye....ge mbaya,pole.
Usijali Bishanga,ngoja akijitokeza tu tunaye japo upatea pumziko la moyo lol!Eti eh,nisaidie basi kuniunganisha.
Hivi nyie mnategemea mtu mwenye mimba ya miezi tisa ya mapacha watatu ataweza kubofya haya makitu?
Nilimshauri tuwe tunatumia kondom hakutaka kunisikia
Ona sasa yaliyomkuta Michelle..... Chezeya mimba za ODM?
Chonde chonde hizo sehemu zisihusishe kimwagio.:nono:Whaaaat!???
Nazipoteza sehemu za mwili wako.
Chonde chonde hizo sehemu zisihusishe kimwagio.:nono:
Bishanga ndo unatafuta replacement ya Eliza au
God Forbid....Sasa kuna sehemu za mwli bila hicho??
Hicho ndo kilikufanya ukawa ODM, akchwali ndo cha kwanza kupoteza.
I miss you my friends....and there is no single day that i do not think of you people.
Ninawapenda na tuko pamoja japo si kila wakati ninaweza ku-comment au kusoma kila kitu.
Bishanga, you are missed more....huyo E wa T mtoe maanani, there is a room for you in my heart....njoo tumalize safari pamoja......!!! Asante kwa kuniota,natamani kujua uliota nini.....lol
Babu ODM nimejifungua mapacha wako....asante kwa kunituliza manake hata kuongea achilia mbali kuandika kwa laptop sikuwa naweza...natumai utanirudisha kwenye hali yangu.....lol
Nawapenda wote....Tuko Pamoja!!