gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
na Lizzi wa T kasema urudishe la les wig lake alokupa.
Basi pasaka ntakukaribisha.
Ha ha ha... He he he....
Mbavu yangu moja imekreki,moja inashekisheki,na mbi zina nyufa!
Tajiri amuazimie mkewe mawigi.. Kwani mkewe hana mashoga zake.. Au wamefulia kiasi hicho?!
Bishanga mwenyewe anavaa males wig, afu hupendeza huyo.
Bishanga mwenyewe anavaa males wig, afu hupendeza huyo.
Dah, huyu dada kapotea kweli. Rudi michelle wetu.
Wiselady nae yupo wapi? Wapi nyumba kubwa? Ni wengi.
Koooooooti,mimi na SL ni sawa na kibaka na sentro,full respect!Hahahaaaa sasa tukikuambiaga SweetLady kaanza tabia za wifi yake Kabakabana unakataaga eti unamuamini....
Sasa hiyo msg ya mapenzi imeingiaje kama ni mwaminifu?
Hebu sema imetoka kwa Bishanga au nani?
Hundred thousand USD for the information on her wherabouts available meeeeen.Ngoja nkonfemu na tajiri la Kihaya kisha ntakurudia... Tutaangalia tutaweza kuraise ngapi za fastafasta kabla ya kwenda benki.......
Halafu tutarudi kuendelea kunegoshieti...
Wife umekuaje? Umeingia humu saa ngp ?
Tangu usubui sijakutia nanii machoni , then umekuja huntafuti, nahisi washankupe wameanza kuiroga couple yangu sijui !
Hukuaga hivi, mpaka nikutafute mie looh !
Nitty. . .
Yani jina nikupe mimi, na kunipangia unipangie wewe? Ntakunyang'anya.