gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
Nani kakuudhi jamani? Mbona umesusa jamvi? Kunani? Kama kuna aliyekukera nambie nimpige ban fasta.pliiiiz jongea chit chat angalau tukutie machoni kidogo..................
Mamaa Lizzy long time to see you just call me nitty
Haitakua mara ya kwazna jaman,mbona wakati mwingine tunalala jikon kwa raha zetu!!!!Teh kesho utaona kama hajaomba kulala sebuleni kwa kasheshe atakaloata huku leo
you mean Eliza wa T anajigonga kwa mzee?
Nitty. . .
Yani jina nikupe mimi, na kunipangia unipangie wewe? Ntakunyang'anya.
Lizzy,hope uko poa..
Vipi waweza kuwa na whereabouts za huyu bidada....?
Mi niko fresh kabisa GeeCee. . . Vipi wewe?
Heheheheh. . .Mnaweza mkafikia bei? Maana hiyo info sio ya bei chei.
Mi niko fresh kabisa GeeCee. . . Vipi wewe?
Heheheheh. . .Mnaweza mkafikia bei? Maana hiyo info sio ya bei chei.
Nani kakuudhi jamani? Mbona umesusa jamvi? Kunani? Kama kuna aliyekukera nambie nimpige ban fasta.pliiiiz jongea chit chat angalau tukutie machoni kidogo..................
Na weweje... Au it is that book?!
Waitu mushanage.....
Waitu wahulira ebyo mbaile ninfumola na Lizzy... Manti aine whereabouts zo ogwo mwisiki..
Niringe?
Naungua jua tu mpaka akili yote imeishia kwenye jasho.
GeeCee kumbe wewe na Byshanga ni wamoja ehhh?
Haya nitafsirie. . . .
kurudi tu umeanza makeke? ngoja nikuitie PaW!
Invisible uko wapi? shughulikia huyu mtu aisee,naona hajashika adabu!
So..hukujishghulisha kabisa na kile ki-book..
na Lizzi wa T kasema urudishe la les wig lake alokupa.
Ndo nafikiria kuhangaika nacho. . .
Heehehe owwkey. Juzi nilikua nakunywa mbege mwenzio.
Hongera zako... Mi hiyo kitu kwa mara ya mwisho ilikuwa Desemba 2011!
Konnie hii Lizzy wa. . . .Lizzy wa siifagilii bana. Inanichanganya mara ya pili hii.