Hahahaaaa sasa tukikuambiaga SweetLady kaanza tabia za wifi yake Kabakabana unakataaga eti unamuamini....Mambo ya familia achana nayo halafu nimekuta sms ya mapenzi kwenye simu ya mke wangu kichwa bado kinaniuma jamani
Loh leo haendi kufunga kampeni Arumeru?Nafurahi kusikia ivo,mwambie wifi ywngu namiss sana!
Mme wangu lzm makeke yawepo jaman,si unajua wakati huu yanahusika sana!!
Hapa nimetoka kumlisha cha asubuhi kajipumzisha lol!
Nafurahi kusikia ivo,mwambie wifi ywngu namiss sana!
Mme wangu lzm makeke yawepo jaman,si unajua wakati huu yanahusika sana!!
Hapa nimetoka kumlisha cha asubuhi kajipumzisha lol!
Hahaha hahahha hahhaha,Loh leo haendi kufunga kampeni Arumeru?
Kama ataenda mwambie alale USA maana kwa leo sina urafiki naye kabsaaa na njia pale Patandi tutaifunga kwa umati wa watu.....
Hahahaaaa sasa tukikuambiaga SweetLady kaanza tabia za wifi yake Kabakabana unakataaga eti unamuamini....
Sasa hiyo msg ya mapenzi imeingiaje kama ni mwaminifu?
Hebu sema imetoka kwa Bishanga au nani?
Umeeona eee!umoto asilia wala sio wa kwenye oven au mchina!!!!Dah hicho cha asubuhi sikipatii picha kilivyokuwa cha moto ndio maana anazidi kurefuka pua lake
Hahahaaa hata wapae ila wako na hali mbaya sana...Hahaha hahahha hahhaha,
Si unajua yeye ni papa na usafiri kwa hisan ya chama,
So kuna hericopta itakuja kumpeleka na kumrudish kwan siku hizi hali tena magengeni ni lzm aje kula kitumbua cha nyumban!!!!
Kwako hatakuja kbs,na njia hiyo hatapita mtamwona kwa juu na hericopta tu nhahahahha!
Teh imekula kwako.....Nimejaribu kuichunguza inaonekana kama ni wrong number ila namsubiria aje anieleze vizuri
Kila siku yupo hm huwa wanampeleka na kumrudisha,Hahahaaa hata wapae ila wako na hali mbaya sana...
mwambie arudi home kuja kukaa na familia aisee maana watamchosha bure
Umeeona eee!umoto asilia wala sio wa kwenye oven au mchina!!!!
Ile pua ndio ugonjwa wangu mie!!!na siri ya uzuri na umuhimu wake naujua mie lol!
Niwajibu wangu kuahkikisha pua inarefuka na kunenepa ebo!!!!
Sichoki kwenye ile kitu...kubeba magunia nachoka....Kila siku yupo hm huwa wanampeleka na kumrudisha,
Hakuna cha hali mbaya,matokeo ya gemu ni dakika 90 bana,
BTW;Mwanaume hachoki na hachoshwi!!!!
Wewe hua unachoka na kuchoshwa?
Umejuaje shem!Ndio maana katumbo kamevimba mapema au sio
Sichoki kwenye ile kitu...kubeba magunia nachoka....
Umejuaje shem!
Habri ndio hiyo lol!
Ila bado tuko hane mun tumeongeza miezi 2 ya kuwa huku aiseee!
Nyie bado hamjaotesha?
Nina wasi wasi na hanemun yenu!!!
Hahahha hahahhaha hahahh,Wifi yako kichefuchefu hakimuishi anakula sana udongo wa pemba na anapenda sana kula vitu vichachuvichachu
Teh kesho utaona kama hajaomba kulala sebuleni kwa kasheshe atakaloata huku leoHahahah hahahha hahahahah,
Umichekesha kwa laudi spika lol!
Wa kwangu hachoshwi kwa lolote akija hm muda wote yuko akitivu kwa ulaji wa kitumbua lol!
Poa Gamba...mzima?Mambo zenu wadau..
By Gee Cee
Hiyo ni ya nani sasa?Wifi yako kichefuchefu hakimuishi anakula sana udongo wa pemba na anapenda sana kula vitu vichachuvichachu
Nani kakuudhi jamani? Mbona umesusa jamvi? Kunani? Kama kuna aliyekukera nambie nimpige ban fasta.pliiiiz jongea chit chat angalau tukutie machoni kidogo..................