Michelle.........

mapenzi yananiua jamani nahitaji rehab (source: jd aka jide)

Njoo nikupe rehab, ila na msuba unahusika

Mmmhhhh.....acha kumdanganya binti wa watu mbona uliniambia umemuota E wa T na ukanimalizia mwisho wa ndoto ulivyoku? Bishanga acha hizo banaaa

E wa T alimpiga banzi la uso, eti alimwambia asimtie shombo kweupee.

niko addicted kwa M wa H (former)

Usione kichaka, unataka kushusha msuli, wewe naye.
 
kamanda kwani kuzalisha kitu gani?
Wewe huoni mtoto kanipenda anasubiri tu kauli ya Asha?
Na no woman can resist Shabhan!
Get mad kamanda mtoto mzuri namna hio sitishiki kwa nyau!
mmmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mmmhhhh.....acha kumdanganya binti wa watu mbona uliniambia umemuota E wa T na ukanimalizia mwisho wa ndoto ulivyoku? Bishanga acha hizo banaaa
Jamani Yummy,yaliyonikuta mimi na Eliza wa tegeta mbona makubwa? huyajui? in short alini dump (tena hazarani).
 
Njoo nikupe rehab, ila na msuba unahusika



E wa T alimpiga banzi la uso, eti alimwambia asimtie shombo kweupee.



Usione kichaka, unataka kushusha msuli, wewe naye.
wee Konnie kichwa chako ndo serikali yako,punguza kupenda reggae.
 
Wee hupendi reggae?

Afu naskia wewe ukinyanyua mguu, watu wanadhani unapunga mkono.
Ni kweli???

unatembelea
unajua reggaeists/bob marley and the gang,hobby yao unajua ni nini?
 
ntakulipia, ila na wewe utanilipia katikati ya mwezi, si unajua ninavyoishiwaga.

Nikukute wapi, nina bajaj mayai ya silver

Konnie & Byshernger,mind you, I am watching you closely...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…