Michelle.....

Michelle.....

Amehangaikia nini? anakuja hapa na kukimbia zake kurudi porini,mi nifanyeje....AD hawezi kubali!
Ngoja nimuongeze na Klorokwin na Uporoto ili ujumbe uwe mzito kabisa...Klorokwin location wapi ngoja nicheki na GPS locator kwanza
 
Hashy na Michelle,embu nitoeni ushamba tafadhali,hivi haya mnayoyaanika hapa ni vya sirias au ni masikhara ya jf?

Tuko serious, tulikutana hapa na tukaachania hapa, na kama ni kurudiana ni hapa hapa...lolest!
 
Ngoja nimuongeze na Klorokwin na Uporoto ili ujumbe uwe mzito kabisa...Klorokwin location wapi ngoja nicheki na GPS locator kwanza

Nimewamiss sana, yaani wakija labda na mauchungu ya msiba yatapungua....yaani sina raha kabisa...dah!
 
I will not be held responsible for anything
Don't say I didn't warn you.

You don't know hor far I can go
All I see now is
:hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari:

Kongosho, usipende kuongea sana usiyoyajua... soma maneno ya The Boss hapo nyuma, anasema kama Hashy asingekuwa nami basi yeye angekuwa nami.... na sasa anasubiri tu tamko la mwisho la Hashy....mimi sijamtuma aseme hivyo, ni moyo na akili yake inayojua uwezo wangu wa kutunza na kumfanya mwanaume bora zaidi....let me & him worry about that n Yes, I can!
 
I will not be held responsible for anything
Don't say I didn't warn you.

You don't know hor far I can go
All I see now is
:hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari:

I see, i guess you also do not know how far i can go...try me just a little bit dear!
 
hii thread inaniumiza kweli moyo.... nilipenda, lakini wengine wamependa zaidi

MTM wala hakuna anayekufikia hapa kwa nafasi nilikuweka kwenye moyo... hakuna mwingie kati yao aliowahi hata kukumbuka siku ya kuzaliwa kwangu?? Basi tu, sasa nilijua uko occupied nikaona nijiweke pembeni....lol
 
Yaani MTM
Utakuwa umenisaidia sana
Please naomba angalau umtoe out

Maana kila nifikiria naona Segerea tu inaninyemelea
I can a 'beast' when it comes to my interests

lazima itakua chini sana hata hewa haifiki

we sawa tu

i still luv ya
 
Ha ha ha haha
Umenichekesha sana
Nahisi umeitamka kwa sauti ya mchungaji, dr, Mh. Rwakatare
inauma sana uchungu.... kumbe Michelle muda wote ule na mi-PM laki na alfu ishirini moyo wake wala haudundi

yaillahi toba!!:A S-eek:
 
inauma sana uchungu.... kumbe Michelle muda wote ule na mi-PM laki na alfu ishirini moyo wake wala haudundi yaillahi toba!!:A S-eek:

Usiwe na uchungu jamani, wajua i can do anything just to see you happy....sema neno tu MTM....!
 
Yaani MTM
Utakuwa umenisaidia sana
Please naomba angalau umtoe out

Maana kila nifikiria naona Segerea tu inaninyemelea
I can a 'beast' when it comes to my interests

He he he he, hujiamini Kongosho?? we kunitoa huwezi, mtunze tu TB vizuri...utasaidiwa kuwatoa out wangapi??
 
I need a hug. . .
Anyoooooone. . . . ? . . . . not you. . . someone else.

Dearest umeshalainika au bado unapakwa viungo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom