Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Ab_T : kama kawa mtu wangu...!:rockon:
Wewe unamuona ni mzuri sana?
beauty in the eyes..........
Mie namuona ni bomba na napenda hajakaa kizembe (nyama uzembe)
sio mzuri ila she z fashionable yan!
kwa fashion mkalii......
Afadhali na wewe hilo umeliona.
Na hata kwenye fasheni sioni chochote kilicho extraordinary hadi watu washoboke hivyo. Angekuwa si mke wa raisi wa Marekani wala watu wasingemsifia kwa "uzuri" wake.
I don't think so.
Beauty is in the eyes of the beholder!