Michano, Punch lines special thread

Michano, Punch lines special thread

Hii ni kiboko kama masistaduu wa mwenge/
wengi mna mistari local kama shati za vitenge


singa singa
 
niimbie usiulize ya
rado TU/
mkere FIDQ/
ukiona
hainiumizi bado ujue kwako
nimefika FULL/
nimechizika BOO/
sio
kama ninapita TU/ sijajipachika kama
STICKER nimekita kama TATTOO

FID Q
usinikubali haraka
 
Mimi sio tu msanii ila ni bonge la mc,hata babu yake baba yako haniwezi kwa fasihi_fa

damu kwenye buti yangu, ganja kwenye gari yangu, nakodiisha bunduki ila siwadhuru watu wangu_fa
 
§Yaliyopita si ndwele basi tugange yajayo na mambo yakienda kombo yaache usiende nayo§ Fid Q
 
§Maisha ya barabarani, tazama pande zote/na taa ya kijani ikiwaka amani ya bwana iwe nawe..§ Fid Q
 
na wivu sio hip hop, mc anayetaka bifu amlete mother ake kwa strip club_FID Q
 
§Sipo kama nilivyokuwepo/haimaanishi niko tofauti§
 
§Usiache unachotaka maishani,..ghafla na kufuata kile ulichotamani§
 
1.Usi ni treat kama second class person,utakuwa unafanya fist class mistake;I am profesiona by FID Q
2.Ukinicheka sokoni,mm nakucheka shambani,chuma hufua chuma,ni mwendo wa roho mkononi; NI HAYO BY PROF J/FID Q& LANGA
ni mm nasema ni hayo tu
 
Kumbuka wa kujithamini ni wewe..
Hivi umekosa cha kuuza mpaka unajiuza mwenyewe?..

Huyu Ni Songa.
 
Ushauri nitaendelea kukupa..
Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako, kwa maelezo zaidi endelea kuvuta..

Huyu Ni Songa.
 
Dah mkuu sembo huo ushauri wa kibabe sana!
 
tuki tuki tuki tuki tukitoa utani/
songa ni mwanaume wa shoka na nadhani/
ndio maana shoo za bure anatoa chumbani/
 
hi dayna sikufichi ulikuwa unauzika/
mtoto mtaani akijichubua haimaanishi anaukimbia uafrika/


fid q
 
Na bado na graduate ghetto nina vyeti vya kutosha/
na ukitaka battle nakuficha kama nyeti ndani ya boxer/

aaaaaaaaa

nikki mbishi
 
nachana anga kama jet ama chopa/
hii track ipo sexy so nai dedicate kwa maporn staa/
 
Aiseee naona mnachana tu naombeni kipande MO11
 
Last edited by a moderator:
Baba Malcolm baba wa familia kwenye hii platform nadhani kila baba ananisikia.... AMKA MTANZANIA NIKKI
 
kipofu anataka mwanga amechoka kuona giza/ nipo uwanja wa ndege na bado sijaona viza/ unaona miujiza mbona unauliza?/ feature imegoma hata ikija hutamwona Jesus/ sina sensa ya makazi na wala sina presha muda wote mi natesa na wakazi/ tenga malazi jenga kwa wazazi/ utupu mbaya ndio maana tunauremba kwa mavazi/ SONGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom