kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Yoo yooo yooo ah!
L..O..A..D..I..N..G.......!
evri bodi seyi yeaaaaaaaaaa(yeaaaaaaa).
wowo(wowooooooo).
Yoo yooo yooo ah!
L..O..A..D..I..N..G.......!
ugumu wa maisha usifanye uazime nguo/
kuvaa joho kwenye picha haimaanishi ulihitimu chuo
mwite stamina
tajiri hapimwi kwa kuombwa mjini sijaja kumtembelea mjomba/
kujamba sio kushiba labia ni hodi ya kimba/
Vicky kamata, marapa wote watoto njooni kwangu pipi mtapata,
kuchana hatujasahau zetu kabisa ila zali kwao angalau/
Hatuchani bure si tunachana ukipanda dau/
miss ngatara pitia huku
Mimi nikiwa huru, uhuru kwa masela, shangwe kibao utadhani lulu katoka jela,
kwa rap nimekufuru sijawahi kumbwela/
natawala kwao zaidi ya makaburu kwa mandela/
rapa mwenye mzuka sijavutakaya/
nipo confident kila ngoma nikigusa waya/
Ndani ya bus la rap kabuka naona haya,
Oya suka basi punguza pupa nashuka fire,
Nipeni kesi kama aliopewaga zombe,
Chinja watata wananiita baba la wanyonge,
halafu we MO11 hii mistari ni yako kweli?.
itakuwa poa mkiandika jina la raper na jina la wimbo ili kuwatendea haki wahusika kwa ubunifu na utunzi wao.kila nikicheki naona mistari yako mingi ni vipande vya stamina,sterio,songa na one the incredible.
chapa marapa kama morani anavyoswaga ng'ombe/
nikasaka mike mchizi anamsaka aliyemwaga pombe/
dundo napasua biti zangu kali
ndo baruti wakati zao nyundo za mabua
wajomba tunakonga fasihi
huku nikki kule songa na pii
Kwenye beat nikinata,
marapa hawatulii kama binti mwenya wigi la mashaka,
Penda kupendwa na mshiko, Leta mwaliko,
Mimi ni yule dokta nae remba mwandiko,
japo najua kupeta inachekesha eti nyumbani hawapiki eti kisa sijaleta jiko
unataka luku zunguka kama panya buku
vigumu kupata ujumbe kwenye mwili wa baba luku\