Hakika, wanaboa sanasiku hizi mimi sichangi kabisa, hata uwe best, nakwambia jipange tuu.....ntakuchangia masomo,ukiumwa na msiba tuu...
Hakika, wanaboa sanasiku hizi mimi sichangi kabisa, hata uwe best, nakwambia jipange tuu.....ntakuchangia masomo,ukiumwa na msiba tuu...
Jamaa mmoja juzi nimemtoa nduki eti alikuja kunijulisha kwamba anataka kuoa huku ninajua anaishi na huyo mwanamke kinyumba kwa muda mrefu. Nikamuuliza, unataka kuoa au unabariki ndoa? Acheni kuchezea pesa zetu. Akawa mkimya.Ndugu zangu naomba niende kwenye Mada huska
Kiukweli kuna jambo linaniumiza Sana hasa swala la michango ya ndugu wanao owana
Kimsingi hua wanagawa card ili tuwachangie fedha ili wafanikishe sherehe yao
Cha ajabu unakuta Single unaambiwa uchangie 45.000 au chini ya hapo km itakuwa Dabo basi Dau linaongezeka
Mwisho siku ukienda kwenye sherehe unakuta unapewa chakula ambacho ni saizi ya mtoto wa Miaka 2
Unakula ila hushibi
Ndugu wadau hii imekaaje au ni Mimi tu sishibagi vzr
Mbarikiwe, karibuni mchangie hoja, povu lina ruhusiwa
Iyo Ya 2M ipoje mkuuYaani unashangaa cake laki 5? Zipo mpaka za 2M
Iyo Ya 2M ipoje mkuu
Ladha ni ile ile. Design ndo ina mambo mengi
kwa hiyo boss ukakaba mpaka mwisho!!?Boss nilienda sherehe 1 tumechanga dabo 100k tuliishia kugawana soda fanta na mwezang...maji na wali kuku nusu ya robo kuku!!!!
Mbona ndogo sana mkuu 641000 kwa mwaka? Hapo harusi, mahafali nk bado hujachangia wewekushiba sio hoja, natatizwa na kutiaba umasikini.
niliona mada humu kuhusu michango nikaandaa records, nimejikuta nimetoa 641,000/= kwa mwaka km michango tu ya harusi, mahafali na vijisherehe uchwara. huu ni mtaji wa genge kabisa
..na sambusa mojaAlaf sijui kwann nyama huwa anagawa mtu mwenye loho mbaya , yan anakupa kipapatio wakat mtu umetoa 40 elfu , kwanza me napanga kupunguza kutoa toa hyo michango
Eti kuku mataahira[emoji23] [emoji23]Kinacho niacha hoi, nyama ya kuku hua ni wale kuku mataahira/ kuku wa kisasa. Ukila ukanyonya mifupa , utakula dawa za kutibia kuku.
Muda wa msosi hua sichukui wali au tambi. Nachukua ndizi za kukaangwa, nyama iwe choma, ya kukaangwa au rosti.
Kipapatio kimoja cha kuku taahira na sambusa moja ndo navopewaga mimi....Mbona huwa wanapakua kingi mtu unaweza hata kuacha, pilau...wali mweupe...nyama ya kukaanga na ya rost... kuku...njegere...viazi na n.k halafu ushibi??
Aaaaaaahaaaaa.....u made my super night[emoji23] [emoji23]Mbaya zaidi mtu anajua upo Dar, sherehe anafanyia mkoani na anajua hutashiriki lakini anakuganda utadhani atakupa shift siku moja uonje!