Huwa wanalazimisha kuchanga?kushiba sio hoja, natatizwa na kutiaba umasikini.
niliona mada humu kuhusu michango nikaandaa records, nimejikuta nimetoa 641,000/= kwa mwaka km michango tu ya harusi, mahafali na vijisherehe uchwara. huu ni mtaji wa genge kabisa
Dash hongera....me najamaa yangu akitoa mchango was double akiwa peke yake lazima abebe sahani mbili akiwa mkavu kabisa!!Kabla sujakwenda harusini ninapika ugali tembele ninshushia na maji. Hata chakula kikichelewa wala sina hofu. Nikishawapa mikono bwana na bibi harusi na kukabidhi zawadi ninaondoka.
Wanaochangisha ubarikio sijawahi kuwaelewaKanuni ni moja nowadays.hapa nimeshaoa nina kad zaid ya 5 hapa ila nachangia kama 3 tu.mshkaji wangu alinichangiag na ubarikio wa ndgu basi.
Wengine kama kuna ulazima sana haitazidi elfu 20.
Kuku wangapi hapo?kushiba sio hoja, natatizwa na kutiaba umasikini.
niliona mada humu kuhusu michango nikaandaa records, nimejikuta nimetoa 641,000/= kwa mwaka km michango tu ya harusi, mahafali na vijisherehe uchwara. huu ni mtaji wa genge kabisa
Atakua na lake jambo.. Wengine huwa hadi wanawaambia watu wakaongeze ambao hawajashiba.. Kwa experience yangu watu huwa wanalalamikia vinywaji, m.c, mapambo au msosi mbaya.Kama msosi wa pale harusini haushibi mkuu wewe sio wa mchezo mchezo,
Picha linaanza unapewa mtori wa kuzugia,huku sherehe inaendelea kuna soda,juice,bia au maji yanapita mezani,
Harusi ikishanoga ile mida ya msosi kuna wali mweupe,pilau, ndizi nyama Rost,kuku Robo,njegere, sambusa ya nyama, N.K na bado haushibi mkuu.?
Harusi inavitu vingi mkuu.. Si misosi tu.. Vp ukumbi. Mapambo, m.c n. KSasa mkuu hiyo soda /Bia viakufanya ushibe ?maana kinacho shibisha sio vinywaji ni chakula, kimsingi ile value for money haionekani kabisa, Lakini pia mara nyingi hata mazingira hua hayaruhusu kwenda kuongeza. Hilo ni tatizo kubwa
Subiri ur turnSijawahi kumchangisha mtu. Simchangii mtu!
Mbaya zaidi mtu anajua upo Dar, sherehe anafanyia mkoani na anajua hutashiriki lakini anakuganda utadhani atakupa shift siku moja uonje!Ndugu zangu naomba niende kwenye Mada huska
Kiukweli kuna jambo linaniumiza Sana hasa swala la michango ya ndugu wanao owana
Kimsingi hua wanagawa card ili tuwachangie fedha ili wafanikishe sherehe yao
Cha ajabu unakuta Single unaambiwa uchangie 45.000 au chini ya hapo km itakuwa Dabo basi Dau linaongezeka
Mwisho siku ukienda kwenye sherehe unakuta unapewa chakula ambacho ni saizi ya mtoto wa Miaka 2
Unakula ila hushibi
Ndugu wadau hii imekaaje au ni Mimi tu sishibagi vzr
Mbarikiwe, karibuni mchangie hoja, povu lina ruhusiwa
Inategemea na aina ya harusi anazochangia/hudhuria.Kama msosi wa pale harusini haushibi mkuu wewe sio wa mchezo mchezo,
Picha linaanza unapewa mtori wa kuzugia,huku sherehe inaendelea kuna soda,juice,bia au maji yanapita mezani,
Harusi ikishanoga ile mida ya msosi kuna wali mweupe,pilau, ndizi nyama Rost,kuku Robo,njegere, sambusa ya nyama, N.K na bado haushibi mkuu.?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbaya zaidi unakuta mtu anakudai mchango km rejesho, yaan anadai kwa nguvu bila kujua ht ww uko na bajeti zako
Tena kudaiwa kbsYaani unapangiwa kabisa na ni lazima utoe. [emoji23][emoji23]
Hlf kuoa ni personal ishu kwnn usumbue watu ili hali mke unamtumia peke ako na kwa faida yako.Mimi mtu akiniambia nimchangie ndg yake anaumwa au mtoto kapeleza ada kwa kweli tatoa kwa moyo mweupe ila sio hii michango ya harusi kila kukicha wakati ndoa yaweza fungwa bia hizo mbwembwe zote. Mimi nimejipangia kwa mwaka sitochakia harusi zaidi ya mbili na kiwango cha pesa kisizidi elfu thelasini. Ifike mahali tujifunze kuishi kwa utaratibu tuliojiwekea.