Kula kwako kabisa kwanza unaweza kushiba kwenye chakula cha shughuli ambacho ni kibaya?Mwisho siku ukienda kwenye sherehe unakuta unapewa chakula ambacho ni saizi ya mtoto wa Miaka 2
Una bahati umekuta maji na soda,ningekua mimi ningeweka mafenesi ili siku ingine mkome kutegemea kula shughuliniTena siku 5 mfululizo mkuu yaani wanavyochangisha wanasema kila kitu kitakuepo shangaa ukifika ukumbini wanaleta tena ulokole me naona ni upigaji tu maana maji majisoda na Malta jumla ni elfu 5 mia tano na ni vinywaji ambavyo huwezi kunywa zaid ya ki moja
Kinacho niacha hoi, nyama ya kuku hua ni wale kuku mataahira/ kuku wa kisasa. Ukila ukanyonya mifupa , utakula dawa za kutibia kuku.Alaf sijui kwann nyama huwa anagawa mtu mwenye loho mbaya , yan anakupa kipapatio wakat mtu umetoa 40 elfu , kwanza me napanga kupunguza kutoa toa hyo michango
Basi msisumbue na kuchangisha watu kwani wanakuja bure yaani mtu atoe elf 70 yake af mlete upumbavu wenuUna bahati umekuta maji na soda,ningekua mimi ningeweka mafenesi ili siku ingine mkome kutegemea kula shughulini
Afadhali wewe mkuu sikiliza mimi sasa
Tarehe kama 10/9/2018 mtoto wa kaka anayesoma shule ya Brain Trust School iliyopo Buza aliniletea kadi ya mchango akamiambia
Bamdogo mwalimu kasema nikuletee hii barua,kuifungua nakuta wanahitaji mchango wa mahafali ya darasa la 7 kiasi cha 20,000/=.
Baba yake akalipia hiyo hela sasa siku ya mahafali nikaulamba saf nikategemea nitakula msosi wa maana.
Dah muda wa msosi sikuamin nilijikuta natukana kimoyomoyo maana tulipikiwa wali,pilau kidogo,mtori na njegere soda mojamoja na maji ya 500 dah yaan baada ya matonge 6 sahan nyeupe na sikushiba kabisa
Kula kwako kabisa kwanza unaweza kushiba kwenye chakula cha shughuli ambacho ni kibaya?
Kutoa ni moyo,usambe ni utajiri
Kwa hiyo kuhonga kwako wewe ndiyo ujanja.Jinga kabisa weweDalili za watu wa mikoani. Buku 45 analalama. Demu utahonga Shs ngapi?
Single 100,000
Double 150,000
Hakuna kitu cha kipuuzi kama kulipia ukumbi Million Tatu, Mbili alafu A/C zero, bora ukaenda readers club, unalipia laki 600 tu vinywaji unajitegemea, mpambaji laki nane, keki 180, eti mtu keki laki tano???
Kah kweli Mimi mshamba.Yaani unashangaa cake laki 5? Zipo mpaka za 2M
Kama msosi wa pale harusini haushibi mkuu wewe sio wa mchezo mchezo,
Picha linaanza unapewa mtori wa kuzugia,huku sherehe inaendelea kuna soda,juice,bia au maji yanapita mezani,
Harusi ikishanoga ile mida ya msosi kuna wali mweupe,pilau, ndizi nyama Rost,kuku Robo,njegere, sambusa ya nyama, N.K na bado haushibi mkuu.?
Sio ujanja ndiyo halisi. We unakula bure? Hizo kuku unakula, hela zetu hizoKwa hiyo kuhonga kwako wewe ndiyo ujanja.Jinga kabisa wewe
DuhSingle 100,000
Double 150,000
😎😎😎dadeqkama haujawahi kuwa kiongozi kwenye kamati nyeti za harusi, hapa utalalamika sana.
Btw, harusini sio restaurant
Ntakuchukua moja twenzetu manka