Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 4,722
- 14,253
Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli...
Sasa Jana kama kawaida niakenda kariakoo (Sijaonekana kwa muda) nikamuuliza Jay vip mambo ya Kampeni utapeleka kura CCM kama kawaida mzee au vipi, majibu yake yameniumiza sana, amenijibu " Mimi ni Mwana CCM damu damuni, naipenda sana Serikali yangu, ila tukio la Lissu kupigwa Risasi lilinihuzunisha sana, sasa bwana Kipindi kile sikuwa na chochote cha kumchangia kwa kuwa nilikuwa namuuguza mke wangu, sasa mwaka huu mchango wangu kwake ni KURA yangu kama pole yangu kwake kwakuwa bado hata pesa ya kumpa sijaipata"
Dah.. that hits me hard!