Michael Wambura huyoo uchaguzini

Michael Wambura huyoo uchaguzini

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,125
Reaction score
38,520
Mtamkoma
habari zilizotufikia punde ambazo so mzuri hasa kwa kundi la aveva na hanshope mh sa amerejeshwa uchaguzini

sty tuned
 
jamaa mbishi sana duhh....
sawa mikael wambura
 
kila siku anagombea yeye tu,hakuna jipya hapo alishawahi kuwa madarakani hakuleta jipya,amesahau nini arudi tena au hazijamtosha?
 
kila siku anagombea yeye tu,hakuna jipya hapo alishawahi kuwa madarakani hakuleta jipya,amesahau nini arudi tena au hazijamtosha?

Hata AVEVA alishawahi kuwa makamu wa rais hakufanya lolote pia. Kibaraka mkubwa yule wa akina Kassim na wenzake.
 
hongera Michael wambura! haki ya MTU haipotei Bali huwa inacheleweshwa tu!
 
Kweli wambura ni mpambanaji du! Hakati tamaa!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna watu ni kama vichaa vile,wakati anagombea tff viongozi walitoa vielelezo alipoenguliwa na kamati ya uchaguzi wakasema ni mwanachama halali na wala hawana tatizo naye,leo wanasema tena sio mwanachama halali wa simba kweli! Wako sawa ki akili hawa!
 
Akina mama hapo mbele mtampaaaaaaaa!!.................

Na akina baba hapo nyumba mtampaaaaaaaa!!.................
 
Ila jamaa atakutana na wakati mgumu sana kwenye kampeni,na ata akishinda still anakutana na wakati mgumu sana kwenye uongozi wake kwa miaka ya mwanzoni.
Ila najua maadui zake wanaanza kumshutumu mh malinzi eti kambeba,subirini mtaona.
 
Last edited by a moderator:
bado siamini akishinda huyu jamaa itabidi nihamie Mbeya City kwa muda
 
Jamaa alikuwa meneja wa kampeni wa Rais wa TFF (kutokana na maelezo ya Azim Dewji), ha ha ha ha ha long live Mushaija
 
HV wanakimbilia huko kutumikia au kuchukua chao mapema km ma ccm?
 
Back
Top Bottom