Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 482
huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu wengine wanatumia visababu visivyo na msingi kuwazuia wenzao wasigombee nafasi za uongozi!
Ni ubinafsi wa hali ya juu sana...!
Mfano mzuri ni pale walipokuwa wamemwekea mizengwe Malinzi wa TFF, na sasa Wambura huko simba
Ni ubinafsi wa hali ya juu sana...!
Mfano mzuri ni pale walipokuwa wamemwekea mizengwe Malinzi wa TFF, na sasa Wambura huko simba