Michael Wambura huyoo uchaguzini

Michael Wambura huyoo uchaguzini

nadhani tuwe na subira tukisubiri majibu rasmi, ila kwa matokeo yeyote yale aidha kuondolewa au kurudishwa WAMBURA ataendelea kuwa kiongozi wa simba
 
Ameshinda, na alichotaka ni kuweka rekodi sawa. Sitashangaa akiamua kujitoa, alichotaka amekipata tayari!
 
Back
Top Bottom