Ujue nn, nikiona mtu anaonewa roho inaniuma sana mkuu, nashindwa kuelewa kwa nn huyu dada wa watu anachukiwa sana na wadada wa Kibongo wakati walipata nafasi kwa sukari ya warembo na wakaichezea, yeye kaitumia vizuri wanammind, hapo ndio wanaponichosha, yaani yaleyale ya King kiba kwa dangotee ,mpumzisheni jamani
hahaaa Mama Sabrina njooo..kwa hiyo mkuu buji buji nae atachambwa...acha kunitisha bwana" kwani mimi kosa langu nini ?? sinihaki yangu jamani kutoa maoni au.....Mbona pichani ni shangazi wa Mama Sabrina?
Haahahahahahhaha nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
Sawa nanikaushaa sema siku hizi nimekuwa kikojozi kweli
Khakhakhaaaaa hapana chezea kojo la Mama Sabrina rafikiha haaaaa haaaa hii Simu leo kaishika mahondaw au ?
Mkuu huyu haya mambo kayakaribisha yeye mwenyewe ..laiti kama alivyokuja tz angeamua kuishi maisha yake pasipo kuwepo na mambo ya madrama drama na kubishana na watu kama kina wema haya wala yasingemkuta"" mbaya zaidi alijiingiza katika mkumbo wakujibizana na watu "" na kujiona kuwa yeye ni bab kubwa "" kuwa kwa domo amefika "" hiko ndio kitu kilichopelekea mpka leo waona watu wanamsema kiasi hiki"" wanawake always hawapendani ..so inapotokea miongoni mwa hao wanawake akajitokeza mmoja wapo akawa anajikweza mnooo"" nakuwaona wnzake kama choose lazima yatamkuta kama haya yanayomkuta huyu mama....Uko vizuri Mkuu. Ahsante sana hata mimi hizi chuki kwa huyu bidada nimeshindwa kuzielewa kwa kweli lakini Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake mambo yake yanazidi kumnyokea kila kukicha na kufanya mengi tu katika kusaidia wanafamu wenzake sehemu mbali mbali.
We jamaa sikujua mbea hivi haaahaaaahahaaa..kwani yule nani ""?? mbona kama Michael jackson
Mtaambiwa maheta jamani ila huyu Dada ni mhenga loooKazeeka maskini bi tukinao. Safari hii akipata bwana atulizane maana keshaanza kuzeeka menopause inagonga hodi
Mond alikuwa anamsahau asubuhi kabla hajaji make up akaona isiwe shida.Wala picha haijapigwa vibaya ndivyo alivyo achana na zile wanamuedit
Diamondhuyu ni bibi yake nani ?
Mama Sabrina Bwana! Nimekuja Na Kasi Ya 5G Kumuona Legendary Wangu In The Blink Of An Eye Nakutana Na Hichi Kibibi Kinshupau..
BTW, Unajua Kuenda Na Wakati.
Hapana kapigws vizuri sema hajaeditiwa kama walivyozoea kifesi n lukamba walimuedit sana
Kwani huyo ni zari au yule mama mbunge mstaafu wa bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki?Heheheheeh eti ooh zari ana watoto 5 yupo vile vile wanadanganya na picha
Naomba ukiwa unakuja kuchangia nyuzi zangu unalike kwanza ndio unaanza kubwabwaja
mkuu akienda kufanya surgery"" hata madoctor watamtoa mbio unataka akaharibu machine za watu nini mkuu"" zile machine ni za garama aisee
Hahahaaaa!ndo wa kushindana na missa huyuuu!!!!si anamzaa kabisaa!hahaaaa hahaa Jana mlivyokuwa mnasema kuwa ni mama yenu mkubwa nilikuwa naona mnampakazia... lakini leo na mimi nasema yule ni bibi yenu aiseee...keshapita umri wakuwa mama yenu mkubwa ""Raynavero