bi chau "" haahaUsidanganywe na maneno na picha za ajabu za mitandaoni.
Huyu kama zisingekuwa pesa, saizi angekuwa bi Chau.
Achana na blaa blaa za mitandaoni.
Weka uhalisia.
Watu wanamsifia kwa kuwa kuna teams zinazoshindana.
mkuu akienda kufanya surgery"" hata madoctor watamtoa mbio unataka akaharibu machine za watu nini mkuu"" zile machine ni za garama aiseeBasi jamani duh,haya maneno mwishowe yatamfanya mtu akimbilie kwenye plastic surgery buree,yawezekana alikuwa hajanywa chai...
duuhh huu uchokozi sasa..aiseeeMdogo wake zari hahahaha ukute anamuonaga insta tu kuna watu wanajua kujipendekeza
Zari sio bonge hizo ni camera tuUnamuona kadogo jamani nilikua napata mawazo na huu ubonge wangu kumbe na yeye kibonge
Halaf we ahhahahahaahahhahaahahhahaa. acha basiiiiiii huyu siye yeye bwanaaaaa...hahaaa manina wallahi mbona kama Michael Jackson ...kafufuka au??
Utamfikiri nilimpaka makeup mimi adui yakehahaaa yaani mpaka make up ...imeandamana chaaaaa""!!!
Ahahahahahahah ngoja uambiwe lowlife na bosslady wa jfmkuu akienda kufanya surgery"" hata madoctor watamtoa mbio unataka akaharibu machine za watu nini mkuu"" zile machine ni za garama aisee
Siku hizi nimepunguza uchokozi nimekuaduuhh huu uchokozi sasa..aiseee
Weee tema matee chiniiZari sio bonge hizo ni camera tu
hahaaaa hahaa Jana mlivyokuwa mnasema kuwa ni mama yenu mkubwa nilikuwa naona mnampakazia... lakini leo na mimi nasema yule ni bibi yenu aiseee...keshapita umri wakuwa mama yenu mkubwa ""RaynaveroUtamfikiri nilimpaka makeup mimi adui yakenakojoooaaaaaaaaaa
chaaaa""Ahahahahahahah ngoja uambiwe lowlife na bosslady wa jf
Hahahahhahahahahahah nakojoaaaaaaaaaaa hatimae umekubaliana na mimi mi sisemagi uongo Hearlyhahaaaa hahaa Jana mlivyokuwa mnasema kuwa ni mama yenu mkubwa nilikuwa naona mnampakazia... lakini leo na mimi nasema yule ni bibi yenu aiseee...keshapita umri wakuwa mama yenu mkubwa ""Raynavero
aiseeee"" yule kweli ni mbibi ..kuna mtu mmoja Humu kasema kuwa anaumri sawa na bi chauHahahahhahahahahahah nakojoaaaaaaaaaaa hatimae umekubaliana na mimi mi sisemagi uongo Hearly
Ni bibi yetuyule mwanae wa kwanza nalingana nae
Hearly utachambwaaa ooohaiseeee"" yule kweli ni mbibi ..kuna mtu mmoja Humu kasema kuwa anaumri sawa na bi chau
Mbona pichani ni shangazi wa Mama Sabrina?Kaonekana huko Kenya kwa mara ya kwanzaView attachment 773039
hahaaaa..wewe ndiye uliyempaka bibi yangu makeup