Michael Jackson in the morgue ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michael Jackson in the morgue ...

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 12, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280


  Kwa mawazo yangu kuhusu hii Video inaonyesha Daktari wake Michael Jackson alichangia kifo chake kampa mavidonge mengi pamoja na doze ya sindano ........ Daktari muuaji huyo.........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo wewe umekuwa hakimu? Mwone kwanza
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Ndiyo Hakimu wewe kinakuuma nini?Mmbona unanifuata fuata mimi umetumwa nin
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Napita tuu jama hapa naona kama kuna vumbi linatimka hapa
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hey
  si lazima uchangie ..
  Swali lako la kiupuuzi kweli...
  na we jiangalie kwanza ..
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa, MJ was killed! Kuna video ya CNN walipokuwa wanakagua ile nyumba baada ya kifo chake...waliliona jini live. Search youtube for more proof!
   
Loading...