Huwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Hilo nalo ni jipu aiseee.View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
imeandikwa wapi hiyo?Huwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
mkuu acha kumsema mfu kwa ubaya hata kama kakosea kumbuka hakuna mkamilifu sisi wote ni wakosaji na mbona ana sifa nyingi tu nzuri kwa nini usizitaje hizo?mojawapo Michael alikuwa mpole na mwema sana kwa watoto wake,muangalie huyu mwanawe Paris anasema nini katika hii video
Hili hata mimi niliwahi sikia sana,eti wanasema alikataa sababu bongo kunanuka!Hivi kumbe alifanyaga naye mazungumzo,maana stori za mtaani wanasema aliishia uwanja wa ndege
hapo walipo ndio aepoti kwenyeweHivi kumbe alifanyaga naye mazungumzo,maana stori za mtaani wanasema aliishia uwanja wa ndege