Mibaba ya jf ina tabia mbaya

ha ha haa nimelewa ila nina point bdo,mi nathan huyo kidume aongeze bidii utakubali 2,isue awe na uvumilivu mana umeshakubali,wanawake huwa hawakatai n mda 2
 
ha ha haa nimelewa ila nina point bdo,mi nathan huyo kidume aongeze bidii utakubali 2,isue awe na uvumilivu mana umeshakubali,wanawake huwa hawakai bna ni mda ä
 
Mmh! Wewe NE hata hueleweki,kwani ukitongozwa lazima ukubali? Hata hivyo ktk threads zako zote unaongelea mibaba inaonyesha unaipenda iweje tena ujifanye inakuboa? Acha hizo ww...
 
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.

Mibaba ya jf ina tabia mbaya ......?? Mibaba.....???Generalization.....iko mingapi..?? Ina maana yote....,,?? Mbona mimi ni mbaba na sina kumbukumbu kama nimewahi kukutmia PM wala kukoment chochote kwenye mada zako...???
 
Ukisema hujatongozwa siku nyingi na unatumia hili jamvi kujipromote,ntakuelewa,otherwise,utalipia kuitangaza hii biashara yako.
 
Huu ni mpambano kati ya NE na mibaba ya JF.
Tunamaanisha ya JF sio ya mtaani.
Imebaki siku nzima ya leo mpambano uishe. Ndugu wasomaji wasikilizaji na waangaliaji naona mpambano mkali na NE ameelemewa.
Nitarudi kesho kuwatangazia mshindi.
Ngumi hazijaruhusiwa bado.
Ni mpambano wa maneno tu.
Tuendelee.
Husnino hujatulia mpenzi,mibaba imekuja juuuuuu:rain:
 
kwani unawajua?
kinachokuumiza ni nini wakati hwajui hata sura zao?
kwa nini usiwapotezee tu?
 
weka tu hadharani nadhani utawapromote zaidi wapate wengine
kwani kutongoza/kutongozwa ni kosa la jinai? wewe unayefikishiwa salamu ndio mwamuzi huna haja ya kutuambia sie unless kama wewe si mwanamke umeingia ia ID fake kumbe kidume sasa ukipigwa tongozo unawaka
 
kazi kweli kweli,ila na wanaume nawashangaa jamani,huyu dada alishasema ana mume na anampenda mume wa jirani yake? mnapenda sana kuwekwa kwenye foleni eeeeh?mbona mkigundua mnapangwa mnakuwa wakali kama mnatongoza mke wa mtu,mwenye mapenzi pia na mume wa jirani yake?si vizuri....jiheshimuni mibaba ya JF wenye tabia zisizopendeza.....Not Enough,ignore them,wengine wanakuchora tu....JF kuna baadhi ya watu wana akili za ajabu.....:hand::hand:
 
michelle umeshasoma mtiririko wa post za huyu NE?
unajua inafikia mahala kama inaonekana anafanya mizaha ndio maana pia anapata majibu sanjari na mizaha yake
 
michelle umeshasoma mtiririko wa post za huyu NE?
unajua inafikia mahala kama inaonekana anafanya mizaha ndio maana pia anapata majibu sanjari na mizaha yake

Yaani huyu namsomaga sana na post zake nyingi nimemshauri......si vizuri kufanya mizaha na wenye mizaha.....wamuache atatue matatizo yake,si mtu ana matatizo yake na wewe unamuongezea matatizo mengine.....
 
noted madam...lakini kwa style hii mhhh cjui kama yataisha, maana linaisha hili linakuja lile,halafu yote yanafanana
 
Si ungewaPM badala ya kuazisha thread? au c ungewaambiwa huwataki? Inawezekana hata ni wenzio!
 
Guys enough naona kaamua kuingia mitini pamoja hii ni thread yake ila kashindwa kutetea it means amekubali majibu na kujiona kwamba cheap......so tuachane nae na next time akiingia hapa au mwingine mwenye tabia kama zake awe na respect na sio utoto!!
 
Back
Top Bottom