Last year niliachana na mwanamke wangu wa zamani.
Baada ya kimya kirefu nikapata kitu kipya ambacho tuna mipango ya kufunga ndoa na kujenga familia imara.
Mwanamke niliyeachana naye mwaka jana, amemuadd kama rafiki huyu mchumba wangu, na amebandika kwenye ukuta wake picha ambayo tulipiga wote kipindi cha mapenzi yetu.
Kibaya zaidi ni kwamba mchumba wangu kaiona hiyo picha mchana huu na kisha nitumia msg ya kiukorofi.
Sijui jioni nkirudi home hali itakuwaje?
hata mie galffriend wa ex wangu,roho yangu inaniwashaga sana nimuadd...basi tu nimuangalie kila siku nione nini kanishinda....
Askofu nipo
Js nitumie facebook name yako
Mambo ya Facebook nini hayo?? Maana kule nako kuna visa kibao usipimie. Tayarisha maneno matamu matamu ya kumpooza bi mkubwa
hata mie galffriend wa ex wangu,roho yangu inaniwashaga sana nimuadd...basi tu nimuangalie kila siku nione nini kanishinda....
haya sasa mdo maneno cha zamani kinawekwa stooo siku kikipata kazi kinatumika LOL!BHT ..
we acha tu... mi napenda kuhakikisha cha zamani sikitupi jalalani! Nakihifadhi vizuuuri stoo. Kipya kikikorofisha.. basi najua kuna fall back!
Huyu kaona kimwana kipya..hajajua vimbwanga vyake bado!
BHtttttttttttttttttttt yaani umeniacha hoi hapo pa mboga na sima....mwe wacha nikapate lunch!!!
Ulitokana wapi na mwehu?
Huyu wa sasa ushampima akili akajua siyo juha? Nakutania ..ila ulivyomponda yule wa zamani siyo ustaarabu hata kidogo!
Ukipata chungu kipya usidharau cha zamani...