Mianamke mingine bwana!!

huyo ex anakupenda bado...sasa inabidi ujisimamie kiutuuzima ili usimkwaze mwezio huyo unaetarajia kufunga nae ndoa! ni mashaka hayo , inabidi leo uongozane na mshenga wakati wa kurudi nyumbani!

Ahahahahhaha Jewels...mmmm ati aandamane na mshenga kabisa...duh leo najichekea tu!
 
Huna haja ya kujieleza sana, unless ulimdanganya huyo mpya kwamba hukuwa kuwa na huyo.

Mambo ya kizamani unafika kwenye nyumba ya mtu unalazimisha eti picha zichanwe, mpaka kuwa na huyu mpya nikwamba huna tena mpango na yule wa zamani. I am a woman, nimejifunza kitu kizuri sana kusikiliza na kuelewa feelings za mwenzako.

Kwa akili ya haraka, huyo lazima ajue kwamba kuna kinyang'anyiro kati yake na wa zamani amkimbie vinginevyo ataumia roho kwa sababu mwenzie ana mpango wa kumuumiza. akikuuletea gozi gozi lete habari tumrudishe kitchen party , wanaume wenyewe wachache hivi watu wanapigania yeye anataka kuhoji.

Ujumbe huu uwafikie wanawake wote waliolewa!
 
da,
mambo ya mapenzi na yenyewe yanaugumu wake,
haswa mapenzi bila ya kumtanguliza Mungu ni kilio na kusaga meno.
 
Shirooo hv upo??? au ndo njeve imezidi??? mmh nimesahau mwenzetu hata njeve haikupati na uko na blanketi chapa mtu lol!!!!

mmm shosti nipo bwana niende wapi, blanket chapa mtu aina ya raymond!!!!ahahahahahha. vipi hali yako?
 
mmm shosti nipo bwana niende wapi, blanket chapa mtu aina ya raymond!!!!ahahahahahha. vipi hali yako?

mie burudani mamiii!!!! hiyoaina ya blanket inapatikana nakumat?? naihitaji pia si unaona hali ya hewa!!!! Aki natamani shima na sukuma, siku nyingi githeri sijala aaaaaaaah wee acha tu!!!

nitarudi nrb!!!!! hahaaaaaaaa!!!
 
buji,
huyu ndio yule demu wako mpya uliyesema sijui ananuka nini..?
jaribu kuweka mambo yako private,manake inaelekea wewe ndio wale wakaka hata kijiweni wanashinda wakisema siri zao za ndani:A S-eek::A S-eek:
 
wanaume ndo zao akimalizana na wewe anaweza akawaambioa ata wenzake kwamba...yule mwanamke mchawi usku wa manane anapotea kitandani.anakojoa ktandani........ananuka km nyani.....mmh awa binadamua acha nao!!!!:A S tongue:
 
kweli wanaume wa kuoa wamekuwa adimu lakini tabia za kuvunjiana heshima zisikuwepo.

picha za gf wake wa zamani tafadhali nisizikute nyumbani kwake wala katika maeneo yangu ya kujidai............
 
kweli wanaume wa kuoa wamekuwa adimu lakini tabia za kuvunjiana heshima zisikuwepo.

picha za gf wake wa zamani tafadhali nisizikute nyumbani kwake wala katika maeneo yangu ya kujidai............
Gaijin shkamo! Nimekumisi kweli mama!
 
buji,
huyu ndio yule demu wako mpya uliyesema sijui ananuka nini..?
Jaribu kuweka mambo yako private,manake inaelekea wewe ndio wale wakaka hata kijiweni wanashinda wakisema siri zao za ndani:a s-eek::a s-eek:

humu jamii kuna watu wanaishi ulimwengu wa kufikirika.
Matatizo ya watu wengine wanajivisha wao.
Hivi bwabwa bin boflo yuko wapi siku hizi?
 
wanaume ndo zao akimalizana na wewe anaweza akawaambioa ata wenzake kwamba...yule mwanamke mchawi usku wa manane anapotea kitandani.anakojoa ktandani........ananuka km nyani.....mmh awa binadamua acha nao!!!!:A S tongue:
Rosey kwanini umekataa kuwa rafiki yangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom