Miaka ya kustaafu iongezwe

Miaka ya kustaafu iongezwe

Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- Vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- Madogo na mamazao bado wanatugemea

- Au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Hali ya kitaa inajulikana ilivyo Moto, inabidi mtoke mapema na wengineo wapate ajiira. Kuongeza muda ni ubinafsi!
 
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- Vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- Madogo na mamazao bado wanatugemea

- Au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Mara nyingi anayeng'ang'ania kuongeza muda wa kustaafu ni yule mtumishi anayeona ajira ni kama sehemu ya kujipatia pesa za bure kila mwezi. Hapa namaanisha mara nyingi watu wa aina hii hawana juhudi kazini hivyo kutokuwa na mchango wowote au mchango kidogo kwa taasisi. Lakini kwa mchapa kazi, hufurahia ajira mwanzoni tu baada ya muda ataona kama mwajiri anamwibia hivyo kuwa na shauku ya kutumia muda uliosalia kujizalishia.
 
Huu ni mtazamo wako
 
mkuu unaitaje mshahara ni ela ya bure wakati ni ela uliyoifanyia kazi? si zelewi hizi?
 
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- Vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- Madogo na mamazao bado wanatugemea

- Au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Ufie kazn
 
Back
Top Bottom