Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 13,370
- 41,735
Yeah,experience inamataVijana wahovyo tu hao. Wengi tunawapa viajira huku kitaa hamna lolote. Kumbuka kadri mtu anavyokuwa senior anakuwa na experience na mambo mengi ndio maana unaweza ona mtu ana staafu lakini anaombwa kuendelea Kwa sababu ya uzoefu wake

