Miaka sitini na tatu unaoa ili iweje?

Miaka sitini na tatu unaoa ili iweje?

Bora aoe apate mwenza wa kumliwaza ili kutokuendelea kumkumbuka mkewe alie tangulia mbele za haki
 
Yesser Arafati hakuwahi kufiwa wala nini ila alioa akiwa na umri wa miaka 62. Na hakuna aliyeona kama ni kituko wala nini
 
Ukiona hivyo wanaume ni viumbe dhaifu ndo maana hawawezi kuishi wenyewe Kwa mwanamke siyo issue kuolewa umri huo.
 
Uslinganishe mazingira ya kina Mandela na graca hao ni watu wa level tofauti angalia wazee wetu wa kawaida sio kina Slaa au Mengalia wastaafu wa ualimu, wakulima, mafundi uashi
 
kuna watu wanadhani kuwa na ndoa nikufinyangana tu bila kikomo.....
 
kuna watu wanadhani kuwa na ndoa nikufinyangana tu bila kikomo.....

kweli bwaana yaani unamwita m-bibi ana wanae na wajukuu zake kama wewe muje mujifunike shuka moja eti mumeoana kwanza naona ni aibu tupu-kuna mtu alimwambia baba yake ukioa hatutakuja kukusalimia tena
 
Thats y huwa nakumiss, unaelewa haraka sn hapo sasa ndio umenena, si unaona akina Asprin walivyotoa majicho
CC: Kaizer

Afu usinimenshenmenshen hapa, leo niko busy na sugua gaga ya Silent Killer Free P by her excellency lara 1. Mnaniondolea atenshen ya kufuatilia ile valuable sredi.
 
Last edited by a moderator:
CC: Kaizer

Afu usinimenshenmenshen hapa, leo niko busy na sugua gaga ya Silent Killer Free P by her excellency lara 1. Mnaniondolea atenshen ya kufuatilia ile valuable sredi.

Hahahahaaaa!! Kwani nani alikuita huku jamani?? Si kiranga chako, na yule cjui ni wewe!! Lara atakuwa ame-edit pale mwanzo si bure.
 
Last edited by a moderator:
Tena mtoa uzi ushike adabu yako na ikushike! kwani uzee ndio inasababisha nisioe? mwanaume mpaka anaingia kaburini ana piga mzigo kama kawaida tena ushike adabu yako huu ushauri tafuta pa kuupeleka
.Yaani vijana hawa hapo mpaka mtumie sijui mchuzi wa pweza mara purutu sijui paturo hamna kitu hapo
 
Hata mimi umri huo nikiwa na kisu cha kueleweka nitaoa mtoto mmoja mbichi anisindikizie uzee wangu baada ya majeraha ya ujanani.
 
Mie na miaka yangu over ffti nakaribia ndoani. Chezea to sleep alone weye.
 
Ukiona hivyo wanaume ni viumbe dhaifu ndo maana hawawezi kuishi wenyewe Kwa mwanamke siyo issue kuolewa umri huo.

Mwanamume ndio anaeamua kuoa. Mwanamke yeye haamui kuoa isipokuwa anaambiwa na muoaji kuwa nataka kukuoa iunasemaje? Anao uamuzi wa kukubali au kukataa lakini yeye sio anaeoa. Umenielewa
 
Mwanamume ndio anaeamua kuoa. Mwanamke yeye haamui kuoa isipokuwa anaambiwa na muoaji kuwa nataka kukuoa iunasemaje? Anao uamuzi wa kukubali au kukataa lakini yeye sio anaeoa. Umenielewa

Siku hizi wote wanaoa, mwanamke akiwa na pesa anaoa muda wowote akita. Tena siku hizi watu wanaoana.
 
Wacha waoe hata wao wana feelings au ulitaka wapeleke wapi hisia zao? ana busara huyo mzee kuliko kula haramu!
 
Miaka 55 bado mbichi kabisa:eyebrows:. Si ndio hao tunaambiwa ni 'vijana' kwenye siasa?

Kama Rick Ross ndani ya beautiful onyinye they make love on first day,..first day.With his baby garl.
 
Back
Top Bottom