Miaka sitini na tatu unaoa ili iweje?

Miaka sitini na tatu unaoa ili iweje?

Kampani gani hiyo ya uzeeni mfano mtu wa kawaida kijijini miaka 63 ukaoe mwenzio wa miaka 59 mwenye historia tofauti kabisa unadhani mnaweza kuendana? unadhani atakusaidia nini ? kufua hawezi ,kupika hawezi ,Sasa hapo si umeongeza tatizo ndugu zanguni?
 
Na ukiwaambia hao wazee watakwambia " ng'ombe hazeeki maini" especially wazee mababu
 
Here i am my dear, nieleze vyote ulivyomiss nitimize kimoja baada ya kingine
and here you're for real...!
..Kwanza unakuja kwa kubeep mjengoni, mwenzako nikosoma posts zako natamani nikuone live ujuwe..
 
Kitanda usichokilalia vigumu kujua kunguni wake. Mke /mume ni rafiki, mshauri, mtu wa kukutia moyo na kukufariji. Wewe Unaposema asioe basi humtakii mema. Hivi mfano akiugua jipu la t... ako nani atamkamua.
 
and here you're for real...!
..Kwanza unakuja kwa kubeep mjengoni, mwenzako nikosoma posts zako natamani nikuone live ujuwe..

Hahahaaaaa!! Yaani nimebanwa we acha ila angalau this wk na next nina kamda kidogo, nilikumiss pia ujue
 
Hahahaaaaa!! Yaani nimebanwa we acha ila angalau this wk na next nina kamda kidogo, nilikumiss pia ujue
Asante kwa jibu zuri atoto..
Sasa hako ka mda uliko nako wiki hii ungekatumia kwa manufaa yako na yangu ujuwe...! Asprin pita kimya...!
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa jibu zuri atoto..
Sasa hako ka mda uliko nako wiki hii ungekatumia kwa manufaa yako na yangu ujuwe...! Asprin pita kimya...!

Yaani its like yo wr in ma mind ujue.
 
Last edited by a moderator:
atoto ujuwe bado hujanijibu eeeeh!
tuagawane huo mda basi kwa manufaa yetu sote eeeeh!

Nishakujibu, tatizo lako unataka majibu ya kunitia matatani!! Read btn the lines plz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom