kipepeo mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 244
- 71
Hata hao wazee wana mihemko pia
Kampani gani hiyo ya uzeeni mfano mtu wa kawaida kijijini miaka 63 ukaoe mwenzio wa miaka 59 mwenye historia tofauti kabisa unadhani mnaweza kuendana? unadhani atakusaidia nini ? kufua hawezi ,kupika hawezi ,Sasa hapo si umeongeza tatizo ndugu zanguni?