Kichwa Ze Don
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 226
- 350
Single mother Sio Watu Wa Kuwahamini
Napenda kumwambia ili roho yangu itulie kama sehemu ya kujutia kutorudia jambo kama hilo, ila kama litaleta madhara mengine bora niliache tu.......Kwanini unafikiria kumwambia mkeo wakati limeshapita.??
Kwani haelewi sera na miongozo ya kuwa na masingle maza?Liverpool VPN ngoja aje atoe mwongozo
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.
Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda
Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.
Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja Cid kuni babikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.
mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapezi eti ananipenda sana....... kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.
Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hi.
Je nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Watu mna fedha nyingi Sana za kuchezeaTangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Kumbe ni kuwa kuna wakati michepuko inazingua mpaka unatamani umsimulie wife.[emoji23]Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.
Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda
Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.
Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja Cid kuni babikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.
mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapezi eti ananipenda sana....... kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.
Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hi.
Je nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Kama unataka kupata mjukuu anaitwa majuto basi mueleze mke wako kwamba umechepuka kwa miaka sabaJe nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena?
Wala sio tamaa ni huruma tu , papuchi ukishaonja mara mbili tatu tayari unakinai , sema huruma inakuja ukiamgalia halinya maisha ya mlengwa ndo unaamua kumsaidia maisha yasonge pia .Siyo huruma bali mnatamaa na papuchi
Hata kwa ncha ya upanga A SI THU BU TUUUsithubutu kumwambia mkeo.
Umechepuka kwa miaka mingi sana,ukimwambia na yeye anaweza kukuweka kwenye uangaliIzi kwa miaka mingi pia,Napenda kumwambia ili roho yangu itulie kama sehemu ya kujutia kutorudia jambo kama hilo, ila kama litaleta madhara mengine bora niliache tu.......
HakikaWala sio tamaa ni huruma tu , papuchi ukishaonja mara mbili tatu tayari unakinai , sema huruma inakuja ukiamgalia halinya maisha ya mlengwa ndo unaamua kumsaidia maisha yasonge pia .
Kwli wanaume tamaa ya mbususu wananwake tamaa ya hela...basi vurugu mtindo mmojaSiyo huruma bali mnatamaa na papuchi
Atakuwa ana hamu ya migogoro ya ndoa na anataka aexperience kuvunjika ndoa yemweyew akiparticipateKwanini unafikiria kumwambia mkeo wakati limeshapita.??
Kwa kweliKwli wanaume tamaa ya mbususu wananwake tamaa ya hela...basi vurugu mtindo mmoja
Mkuu cijakuelewa una manisha nini hapo.Atakuwa ana hamu ya migogoro ya ndoa na anataka aexperience kuvunjika ndoa yemweyew akiparticipate