Miaka saba ya siri na 'single mother' nimeambulia usaliti tu

Daaah...muwe mnasema mpenz kanifanyia ivi jaman...mbona wote wasumbufu tu...why lazima umention single mother
Singo maza wana nafasi yao ya peke katika mahusiano ya mapezi tofauti na fresh lovers na tabia zao ni tofauti, ndo maana tunawateja kama singo maza
 
Kudate au Kuoa single mother sio kosa wala issue sababu una mpenda yeye kama yeye.

Issue inakuja akianza kusema watoto/mtoto wake ni wako pia inafikia stage anataka uanze assume responsibilities zake au mtu mwingine, hili ndio jambo gumu sana katika uhusiano wa hivi.

Naturally Single mother atawapenda wanae zaidi yako
 
Binadamu wabishi sana kila siku tunasema single mothers ni janga la Dunia hamsikii
 
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda

Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.

Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja CID kuni bambikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.

Mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapenzi eti ananipenda sana. Kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.

Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hii.

Je, nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Nakushauri usije ukathubutu kumwambia mkeo, na kingine achana na huyo single Maza, kama unataka kuwa na mtoto wa kukupunguzia stress tafuta Binti mtulivu mpe Mimba Anza nae maisha
 
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda

Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.

Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja CID kuni bambikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.

Mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapenzi eti ananipenda sana. Kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.

Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hii.

Je, nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Umwambie mkeo ili iweje inawezekana naye anachepuka, amekuambia?
 
Kiazi we we usirudie kuuliza ujinga
 
Changudoa ooops Mchepuko unamsomeshea watoto shule ya kimombo na unampa vitu vya 9M haujazaa nae?! Wewe ni mwehu na gasho.
 
Wewe husemi ulimkosea nini huyo singo mom?

Kuna kitu ulikifanya akarudisha majibu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu sijamkosea chichote mungu ni shahidi nilikua na nia ya kumsaidia tu, na sijawahi kulala usiku mzima kwake na hilo nilimtaarifu mapema sema tu nitamaa za wanawake kutoka kwenye familia duni
 
Nakazia, yaan unabisha kabisa sio mm ata kama upo hapo hapo
 
Napenda kumwambia ili roho yangu itulie kama sehemu ya kujutia kutorudia jambo kama hilo, ila kama litaleta madhara mengine bora niliache tu.......
Usifanye huo upu*zi. Utajuta kuzaliwa. Na yeye ataenda kuliwa nje ili kulipiza kisasi.
 
Kuna single mother mmoja kashaniletea habari za kutaka mtoto na mimi

Ndio anioni tena hata simu zake sipokeii na sms sijibu
 
Kwani unaogopa nini? Wewe mzalishe ila uwe na msimamo wako, camejileta mwenyewe
 
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda

Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.

Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja CID kuni bambikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.

Mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapenzi eti ananipenda sana. Kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.

Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hii.

Je, nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Mke wako ni ngum sana kukufanyia unyama huo...... Wanawake wa nje ndo hua Wana michezo hyo ya kipuuzi..... Usimwambie mke wako chochote kuhusu Hilo..... Atakushusha vyeo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa ushauri wako, ila kupata mke mzuri ni bahati nasibu
 
Back
Top Bottom