Miaka saba ya siri na 'single mother' nimeambulia usaliti tu

Miaka saba ya siri na 'single mother' nimeambulia usaliti tu

Napenda kumwambia ili roho yangu itulie kama sehemu ya kujutia kutorudia jambo kama hilo, ila kama litaleta madhara mengine bora niliache tu.......
Bado ungali hai , usimsimulie yeyote kuhusu hili kama unahitaji kupata amani halisi ya moyo basi tubia hiyo dhambi kwa Mungu mlezi inatosha na endelea na maisha. Hakuna jambo baya kama kuyahadithia madhambi yako uliyofanya sirini kwa wanadamu wenzio.
 
Niliambiwa nisije nikadate na mwanamke ambae ananizidi shida awe single mother ama asiwe hawa baadae huwa wanakuwa na tamaa ta mali
 
Umepata ulichostahili, wanasemaga malipo ni hapa hapa duniani
 
Yaani umwambie Mkeo ujinga wako? Peleka ujinga kule
 
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda

Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.

Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja CID kuni bambikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.

Mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapenzi eti ananipenda sana. Kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.

Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hii.

Je, nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Kaa kimya, wanawake hawasahau
 
Back
Top Bottom