Miaka saba ya siri na 'single mother' nimeambulia usaliti tu

Unawaza kimwambia mkeo ili iweje?.mwanaume unatakiwa uwe na kifua.sio kila jambo nilakumwambia mwanamke wako.Kama umegundua huyo mama alitaka kukupiga na kitu kizito wachana naye na endelea na mishe zako.Kumbuka huyo unayemwona ni mkeo leo kesho anaweza akawa ni adui.
 
Mke wako ni ngum sana kukufanyia unyama huo...... Wanawake wa nje ndo hua Wana michezo hyo ya kipuuzi..... Usimwambie mke wako chochote kuhusu Hilo..... Atakushusha vyeo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nani kakwambia.hivi visa vilivyoko dunia nzima vya wake kuwafanyia unyama waume zao huvisikii?.Waliposema wanaume waishi na wanawake kwa akili walimaanisha wanawake wote,ata mama yako mzazi.
 
Napenda kumwambia ili roho yangu itulie kama sehemu ya kujutia kutorudia jambo kama hilo, ila kama litaleta madhara mengine bora niliache tu.......
Roho yako itulie kwani umemkosea nini?.hebu kua mwanaume wewe.
 
Usimwambie mkeo tulizaa umbea huo utaanzisha migororo
 
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda

Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.

Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja CID kuni bambikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.

Mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapenzi eti ananipenda sana. Kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.

Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hii.

Je, nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.

Mi naona usije jaribu kumwambia mke wako utakuwa umejiroga mwenywe
 
Nani kakwambia.hivi visa vilivyoko dunia nzima vya wake kuwafanyia unyama waume zao huvisikii?.Waliposema wanaume waishi na wanawake kwa akili walimaanisha wanawake wote,ata mama yako mzazi.
Asilimia kubwa michepuko hufanya huo ushenzi [emoji2955][emoji2955][emoji2955]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda

Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.

Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja CID kuni bambikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.

Mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapenzi eti ananipenda sana. Kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.

Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hii.

Je, nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Unavuna ulichopanda!
Nia hasa ya kumwambia ni nini? Kwamba umuaminifu unamfungukia au unataka kuumiza nafsi na hisia yake?
 
Unamwambia Ili iweje?
 
Kausha maana huwezi jua atalipokeaje kuna wakati inaweza kuwa ni fimbo ya kukusemea kila wakati unapo mkosea nilisha wahi mshirikisha mke wangu kukabiliana na mwanamke alie kuwa ukining'ang'ania nilimpa namba ya simu wife ili amkemee lakini baada ya kufaulu hilo ikawa ndio kisemeo nikimkosea yeye anakumbusha huyo mwanamke aise nilijuta kuna wakati anaweza kulipokea vibaya akaamua na yeye kukulipizia kwahiyo binafs naona uache hii usimweleze kabisa kabisa
 
Ukimwambia wife utakalikutana nalo usije hapa ukilia
 
Kausha maana huwezi jua atalipokeaje kuna wakati inaweza kuwa ni fimbo ya kukusemea kila wakati unapo mkosea nilisha wahi mshirikisha mke wangu kukabiliana na mwanamke alie kuwa ukining'ang'ania nilimpa namba ya simu wife ili amkemee lakini baada ya kufaulu hilo ikawa ndio kisemeo nikimkosea yeye anakumbusha huyo mwanamke aise nilijuta kuna wakati anaweza kulipokea vibaya akaamua na yeye kukulipizia kwahiyo binafs naona uache hii usimweleze kabisa kabisa
Ni kweli mkuu hao watu sio wakutegemea kwa kumpa siri kama hiyo, nashukuru kwa ushuhuda wako
 
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.

Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia ukiwa na uwezo, japo kuna masirahi utakae pata(papuchi) baada ya kuona ana ishi maisha ya dhiki na shida nilipata raho ya kumsaidia from the bottom of my heart bila conditionality, japo badaye she offered me tunda

Huyu Singo maza ni limpa maisha ya staha na watoto wake nili wapeleka shule za English medium nzuri na yeye ni kampa makazi pakuishi huduma zote ni limpa kwa nia nzuri, kwa miaka saba bila makwaruzano yoyote kumbe alikua na lake mwoyoni. ali jisahau kwamba yeye ni " just side dish" kwangu tena singo maza. I can do without her.

Mwaka jana huyu singo alipanga na wapinzani wangu wa biashara wa nifirisi wa uuze na mali zangu bila mimi kujua, alitumia police moja CID kuni bambikia kesi ili niwe bize na kesi wakati huku yeye ana badili documents biashara viwanja na gari, ila ni liweza kumgundua mapema ni kastopisha huduma bila kumwambia chochote, akajihisi haraka, na akapora vitu vyote vya ndani ya nyumba thamani yake kama 9m akaondoka kusikojulikana paka leo.

Mwezi jana ameanza kunitumia sms zakuomba msamaha, kwamba "sie wote ni binaadamu tuna kasoro hata vikombe vikika kabatini vina gongana" anaomba ni msamehe turudiane kama wapenzi eti ananipenda sana. Kwa hasira nilio nayo nimeamua ku-block kwote kwote sijamjibu chochote kwangu naona kama Mungu ameniepusha makubwa zaidi ya hayo.

Ila paka sasa nasita kumwambia mke wangu stori nzima kuhusu huyu singo maza, mimi naona kama wanawake ni walewale na huyu ana weza akanigeuka one day ni kimpa stori kama hii.

Je, nikimuambia mke wangu atakuja kuniamini tena? Au ni limeze tu kama nilivo ligadisha miaka saba sasa.
Mwambie ili umsamehe akurudishie ile nyumba, akirudisha tu nijulishe inbox
 
Hakuchukua nyumba alichukua samani za ndani tu alifagia kila kitu takrabani vitu kama vya 9m.
 
Back
Top Bottom