Miaka niliyoishi si haba

Aisee!
Ujumbe mororo!
 
Kabisa...umdhaniae ndiye aliye...kumbe ndiye siye,aliye,ndiye siye alie ndiye....siye...aliye.....
 
Kasie naona umekuwa wa baridi siku hizi kunani? Au sie huyu kasie mahaba matata tunaemjua?[emoji2][emoji2][emoji2]

Nimemwagiwa barafu, natetemeka tuu 🥶🥶... sina jipya Mkuu.
 
Baada ya miaka 100 toka leo...haya yoote tunayo hangaikia.....hayatakuwa na maana hata chembe....mahusiano....fedha....mali.....n.k.
 
Daaah Mshana Unajua, Kweli umeyaona mengi Mkuu.
 
[emoji3590][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amegawa Tawi la kivuli chake....! Mungu awabariki..
 
Interesting...
 
Najua uliisha ni sahau lakini mimi nakukumbuka nimefurahi kuona bado unaendeleza mambo yako. Nilipotea kwa miaka mitatu , nimerejea juzi duniani.
Nilipotea kwa miaka mitatu , nimerejea juzi duniani.[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Ni kweli sijakuona muda sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…