KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
- Thread starter
- #81
Last edited by a moderator:
charminglady msikilize mwenzio. Mazungumzo siku zote ndiyo huleta tija, nina amini unampenda Vin Diesel bado na ndo maaa umeumia sana.sasa charminglady wangu ndio nini kunichunia hivi siku mbili zote......kwanini tusikae chini tujadiliane tuyamalize....uzuri KOKUTONA kajitolea kuwa mediator....
yaani hapa KOKUTONA umemaliza kutoa maelezo upande wa mshtakiwa.....plz charminglady respond positively....charminglady msikilize mwenzio. Mazungumzo siku zote ndiyo huleta tija, nina amini unampenda Vin Diesel bado na ndo maaa umeumia sana.
Je unataka kumpoteza? Na umwacha huyp Paloma ajitwalie hivi hivi tu?
Fight for your love charminglady before it is too late.
Filipo Umeambiwa na Ruttashobolwa hongera sana kuwa na mke ambaye ni mimi marejesho asiyejua kununa.....
Tuanze lini?